Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Ahsante kwa kushiriki na karibu tenaWE MBURULA HIYO PICHI HAIJAWAHI KUTENGENEZWA TANGU MWAKA 2007.
Huwa wanaboresha majani.
Hawaajawahi kufumua, wala Kutengeneza kwa Standard na Demand Za CAF na FIFA wanazo zitaka.
Hata viti huwa vina Expire havitakiwi kukaa zaidi ya miaka 7.
ALL THE BEST RAIS WA MBURURA.
Engineer ameweka level hii kesho unaenda kuchimba na kufukia kamwe huwezi rudisha kiwango kile engineer alikusudia tokea mwanzoWanathimbaaa
Ahsante kwa kushiriki na karibu tenaMrombo Leo katoka front πππππ
Haya' sasa' π kesho naomba uandae suti, nakuteua kuwa Waziri wa Benjamin mkapa stadium