Piteni hapa jamani mtoe neno

iyo ndo miguu yako? au umesimamia mikono eeh? afu pia naona una ngozi kavu sana kama sio kukomaa kupitiliza. zingatia maelezo ya theboss apo juu.
 
Last edited by a moderator:
mbona izo stand zipo standard kabisa au jamaa analake jambo.Mi ukimuona mamsapu wangu wa zamani miss chagga au masai dada au hata mie mwenyewepia ailkuwepo mwingine shansarie sijui wapi siku izi mbona ww utajiona una matende?
 
naombeni mniambie nifanye mazoezi gani miguu yangu inenepe?? nimeachwa kisa cna mguu

pole sana yaani kwa miguu hakuna namna maana hata mchina hawezi yaani vingine vyoteee aliweza ila miguu haiwezekani kama angekuwa anaweza wema sepetu angeweka ya mchina.
 
Pole sana dada...kiukweli mwanamke ukiwa na miguu mibaya unatisha sana
 
iyo ndo miguu yako? au umesimamia mikono eeh? afu pia naona una ngozi kavu sana kama sio kukomaa kupitiliza. zingatia maelezo ya theboss apo juu.

ni miguu jmn mi nimeumbwa hivi nashindwa kujibadili sasa swala la ngozi kavu kweli ninangozi kavu
 
Last edited by a moderator:
pole sana yaani kwa miguu hakuna namna maana hata mchina hawezi yaani vingine vyoteee aliweza ila miguu haiwezekani kama angekuwa anaweza wema sepetu angeweka ya mchina.
vipi kuhusu mazoezi?
 
Mbona una mguu mzuri sana jamani wengine kama tunatembelea mikono
 
Weka picha ya miguu ya jamaa aliyekuacha ili nione kama miguu yake yeye ni mizuri.
 
mbona izo stand zipo standard kabisa au jamaa analake jambo.Mi ukimuona mamsapu wangu wa zamani miss chagga au masai dada au hata mie mwenyewepia ailkuwepo mwingine shansarie sijui wapi siku izi mbona ww utajiona una matende?
miss chagga mbona kanona vizuri tu
 
Last edited by a moderator:
Huyo mtu mshamba ana lake jambo.
Mwambie apite hivi.
Hajajitambua bora akatafute mjinga mwenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…