Piteni hapa jamani mtoe neno

Piteni hapa jamani mtoe neno

maimatha

Senior Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
129
Reaction score
161
naombeni mniambie nifanye mazoezi gani miguu yangu inenepe?? nimeachwa kisa cna mguu
IMG_20150715_154251.JPG
IMG_20150715_154337.JPG
 
  • Thanks
Reactions: amu
Huna miguu mbna naiona kwanza kabla ya kufanya mazoezi jiulize ww n kabila gani
 
Nafikiri tatizo lako sio mguu mbaya
tatizo lako mguu hauna mvuto
ngozi kavu....hauna afya...haung'ai
na si ajabu ni tatizo la ngozi yako yoote

kula vizuri...paka lotion nzuri
jipulizie
oga utakate......

jisugue....tafuta shampoo za kuogea nzuri....
itakusaidia....
 
me nathani kuwa na miguu mizurii ni kwa jinsi mungu alivyookuumba jikubali ulivyo huyoo aliyekuacha
alikua na lake jambo hakukupendaa kwa dhati just move on usikubali akurudishe
nyuma yupo atakae kupenda ulivyo trust your self🙂
 
Hakujupenda huyo....

Tupa kule

Kwani alivyokutongoza hakuona hauna guu la bia???
 
Back
Top Bottom