Pitia hapa kujipanua kimataifa

Daktari kama ni msaada uweke wazi tuu hapa ili wengi wajifunze si lazima mjifungie PM huko itasaidia kuwapa mwanga wengi zaidi Mkuu..
 
huko PM mkilizwa mkalilie huko hukp PM maana hamkawii kuanzisja thread za malalamiko
 
Wewe rweyendera kabila gani ? Sio karagwe .
 
Habari mkuu , nikua nahitaji pen pals please utaratibu ni upi..asante
 
 
Dr mpigaji huyu awe wazi kwa nini akimbilie PM kuweni makini na tapeli huyu
 
Nimependa tuwasiliane kwa namba yangu hii 0758508648 nataka kusepa bongo sina rafiki uko niendako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…