Pitia hapa mdau uchague umpendae

Pitia hapa mdau uchague umpendae

kwakuwa sitaki presha B inanitosha hao C,D na E unatakiwa uwe na roho ya chuma cha reli
 
NOMEGUNDUA KWANINI WATU WANAFELI MITIHANI. WATU WANATOA MAELEZO BADALA YA KUWEKA HERUFI.
 
Duh ... sijui niseme au nipite tu?! Ila mkuu BAK nahisi kama tupo chama kimoja!!
 
Hao wanawake sio wa zama hizi, wa zama hizi wamefunga mbele {vitambi} nyuma pasi.
 
Ungeweka na F ungekua umenisaidia sana
 
mimi ni 8 ila napenda D NA E,..lakini umesahau kuweka na wanawake wenye vitambi...ongeza hapo
 
Back
Top Bottom