Pitia hapa mdau uchague umpendae

Pitia hapa mdau uchague umpendae

Tunakulagaaaaa tuuuuuu
###just for fun####
 
Huwezi amini mm mchagga herufi yangu hapo C japo naelekea kwenye D na napenda no.1

Huwezi amini mimi ni 1 naelekea kwenye 0, na napenda C na D. I was just clowning bana. My bad if it came out wrong. Meant no offense.

Anyway, kuhusu hizo curves nitaamini vipi unasema ukweli?
 
Mimi ni NAMBA 5 kati ya hao pia namkubali D anachura hafifu
 
Duhh!!..kweli we ni noma...D unadiriki kusema ni chura hafifu?....Huyo chura makini kwako ndo yupi eti?
 
Back
Top Bottom