Pitia hapa,msaada wako tafadhali

Pitia hapa,msaada wako tafadhali

Mom Fay

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
1,059
Reaction score
316
Habari za jioni wana JF,.. ni tumaini langu mu~wazima,nisaidieni juu ya mdogo wangu,.kamaliza 4rm 4 mwaka jana na ndo kapata matokeo yake yapo hivi; CHEM~D,BIOS~D,PHY~F,GEO~E,ENG~B+,KISW~C,HIST~D,CIV~D,MATHS~F. ,msaada wako anataka kusoma mambo ya afya,.ni sekta gani ya afya inayomfaa kulingana na grades zake.!?,pia msaada wa vyuo vya afya tafadhali
 
kwa udhoefu wangu, itamsumbua kwa sababu hana sifa, yaani hajafaulu katika masomo husika.. Ana 'd' na f.. Kama kweli utachukua ushauri wangu, ni vema kwa mwakani au mwaka huu huu ikiwezekana, ariseat masomo ya biology , chemistry na physics afaulu kwa ngazi ya c. Hii itampa fursa kubwa ya kufungua milango ya diploma yyte ya afya.
 
Back
Top Bottom