Mom Fay
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,059
- 316
Habari za jioni wana JF,.. ni tumaini langu mu~wazima,nisaidieni juu ya mdogo wangu,.kamaliza 4rm 4 mwaka jana na ndo kapata matokeo yake yapo hivi; CHEM~D,BIOS~D,PHY~F,GEO~E,ENG~B+,KISW~C,HIST~D,CIV~D,MATHS~F. ,msaada wako anataka kusoma mambo ya afya,.ni sekta gani ya afya inayomfaa kulingana na grades zake.!?,pia msaada wa vyuo vya afya tafadhali