Pitia hapa ongeza ujuzi kuhusu nyumba za contemporary au hidden roof

Pitia hapa ongeza ujuzi kuhusu nyumba za contemporary au hidden roof

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
259
Reaction score
483
Kabla ya huajajenga nyumba yenye paa la kujificha ( hidden roof) soma ushauri huu👇

👉Hiddenroof ni nyumba ambazo zilikuwepo toka miaka ya nyuma hivi karibuni Zimekuja kwa Kasi.

Na zimeacha kilio kwa watu wengi, hii ni kutokana na kulalamikiwa kwenye changamoto ya kuvuja.

👉 Nyumba hizi zinapendwa kwa kasi kutokana na kupunguza gharama ya bati na mbao wakati wa Kupaua, lakini tuna kukumbusha kama unajenga hizi nyumba Kwa lengo la kupunguza gharama ya mbao na bati wakati wa Kupaua .
Basi ujue gharama unayoipunguza lazima uwekeze katika kuzuia maji yasivuje kwa kuzingatia vitu hivi 👇 kwa uchache

1) kabla ya kujenga contemporary house hakikisha, unapata fundi ambaye anauzoefu mkubwa na uzoefu wa kujenga aina hizi za nyumba.

2) Nyumba hizi zinahitajika zipande juu ili kusaidia paa Litakalowekwa liwe na mwinuko/ slope ya kutosha ambayo itasaidia maji yashuke kwenye bati bila shida yeyote.

3) Gata ya zege ya contemporary house inatakiwa iwepana, slope kali kuelekea kwenye matoleo ya maji ili

kutoruhusu maji kwa muda mrefu kwenye gata pia iwe treated na chemical ambazo zinazoweza , kuzuia maji kupita kwenye zege.

4) Maungio ya bati na ukuta yanatakiwa , yathibitiwe kwa kuwekewa cover ya bati au material ya waterproof kuzuia maji kupenya kwenye maungio ya bati na ukuta.

👉Watu upendelea kufata kwenye ubora nyumba yako ni nyumba yenye hadhi tafathali ipe thamani zaidi.

👉Lengo letu kubwa zaidi ni kubadilisha muonekano wa nyumba yako. Unanyumba yako tukabizi tukufanyie ujenzifinishing tupigie leo tukuhudumie leo Kama unahitaji kujenga nyumba ya kisasa tutafute Tukujengee kuanzia chini mpaka tunakukabidhi nyumba ikiwa imekamilika
Kwanza tunakupa raman na makadilio yake utaijenga kwa sh ngapi na kuijenga kisasa kwa uaminifu 0743257669 Ingia Whatsapp kupitia Whatsapp yangu hii hapa niulize James piga 0615813053 ofisi yetu ipo banana ukonga.
 

Attachments

  • 1720854958678.jpg
    1720854958678.jpg
    360.6 KB · Views: 42
  • FB_IMG_17110204436944860.jpg
    FB_IMG_17110204436944860.jpg
    204 KB · Views: 39
  • 1720708049916.jpg
    1720708049916.jpg
    312.2 KB · Views: 36
Kuna Mtu amewahi kufanya hesabu ni Kiwango gani cha unafuu wa bati na Mbao Kwa Mifumo huu wa kuficha bati??Inapunguza bati na Mbao lakini Tofali zinaongezeka..
Kuna uwiano au Uhusiano wa hizi contemporary structure na wingi wa mvua?Zinafaa Sana Maeneo kame au Jangwani kwenye upepo...Kwa nini twapenda kukopy bila kujiuliza?
 
Kuna Mtu amewahi kufanya hesabu ni Kiwango gani cha unafuu wa bati na Mbao Kwa Mifumo huu wa kuficha bati??Inapunguza bati na Mbao lakini Tofali zinaongezeka..
Kuna uwiano au Uhusiano wa hizi contemporary structure na wingi wa mvua?Zinafaa Sana Maeneo kame au Jangwani kwenye upepo...Kwa nini twapenda kukopy bila kujiuliza?
Yuko sahihi
 
Mimi nyumba yangu ina urefu wa mita 17 na upana wa mita 14. Bati inatakiwa imwage maji kulia na kushoto kuna gata mbili nimezijenga. Fundi ananiambia ninatakiwa kuwa na bati za migongo mipana mita 302...yaani bati 40 za mita nane...kisha anasema mbao za urefu wa ft 18 za 4x2 ziwe 146 na 2Ă—2 ziwe 56 naona kama amezidisha sana...ni nini maoni yako??
 
Back
Top Bottom