Pitia hapa tujikumbushe katuni zetu asili

kaburi jeusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2017
Posts
258
Reaction score
145
Wapenzi wa sani kitaambo sana kipindi cha analojia tujikumbushe majina ya katuni zetu. Kama ndumilakuili=mwizi,sokomoko=mlevi,pimbi=mzee wa mapenzi,madenge=mtoto mtukutu,endelea nilio wasahau.........
..................
 
.........Zena& Betina
- Kipepe
-Lodilofa
-Bush stars Fc
-Madenge
-Baba ubaya
-watoto mapacha
-Sunche na kapeto
-Kifimbo cheza na wachafuzi wa lugha
-Mzee mwinyi mpeku
-Ole
nk.

Daaah!!, mkuu umenikumbusha mbali sanaa enzi zetu.

I realy miss those days

[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]

SANI ilikua poa sana enzi hizo.
 
Bulicheka, Elizabeta, Bob Mazishi,Zena, Betina, James Akeke,Zumo,Ufudu,Panga la Shaba,Kadidi,Sakalamento,Kingo,Mpingo.

Bila kumsahau Tall Manyama zaidi ya mnazi
 
Kulikuwa na ile ya zena na betina yaan wao ilikuwa ni kupambana tu mwanzo mwisho,sijui kwanini
 
Timbwili la zena na betina lilikuwa balaa!Baadayeakaja baba ubaya Timbw
 
Kabla ya katuni walikuwa wanatumia picha halisi..
Muhusika mmoja alikuwa anaitwa belinda! Kati ya 1970-1980s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…