Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
- Thread starter
- #41
Why not now,mkuu!My plan is when i turn 28 yrs officially.... I will start reading books extensively and intensively.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why not now,mkuu!My plan is when i turn 28 yrs officially.... I will start reading books extensively and intensively.
Vitabu huvikuti,inabidi udownload mwenyewe, jinsi ya kudowload nimeelekeza hapi juu, hii application inafungua documents zenye formats tofauti tofauti kama pdf,word,epub, Mobi...,lakini kwa uzoefu wangu,ukiwa na kitabu kwenye EPUB au Mobi ndo kinakuwa rahisi kusoma kuliko kwenye format ya PDF.hii app vitabu unavikuta au, na km kiko kwe pdf inakuaje
Naona hatari ya kutumia mawazo ya mtu kupinga kile ninachoamini🥺Mbona kama umeshtuka mkuu[emoji3]
No time yooMy plan is when i turn 28 yrs officially.... I will start reading books extensively and intensively.
Umenikumbusha siku moja nasafiri kwenye basi kuliwekwa video ya mijadala ya dini ya akina mazinge,wasio mjua mazinge huyu mwamba anaijua biblia ndani nje na huwa na mijadala mizito sanaKiweke mkuu sisi watu tunaoamini Dini hatuogopi kusoma vitu tofauti kwa sababu kilichotufikisha kwenye imani ya Dini ni kusoma hukohuko,so haimake sense mtu akaogopa kusoma Ideas mpya eti kwa kuhofia atamkataa Mungu.
Ukiona mtu anaogopa kusoma vitabu kwa hofu hiyo basi mtu huyo imani yake hakuipata kwa maarifa bali aliipata kwa ujinga wa kukaririshwa tu.
Weka hicho kutabu wadau tuzame humo