Pitia kitabu hiki. Ni summary ya Self help books zote

hii app vitabu unavikuta au, na km kiko kwe pdf inakuaje
Vitabu huvikuti,inabidi udownload mwenyewe, jinsi ya kudowload nimeelekeza hapi juu, hii application inafungua documents zenye formats tofauti tofauti kama pdf,word,epub, Mobi...,lakini kwa uzoefu wangu,ukiwa na kitabu kwenye EPUB au Mobi ndo kinakuwa rahisi kusoma kuliko kwenye format ya PDF.
 
Namkubali Mark sana, nafuatilia YT channel yake,

Ila nilishagundua zamani kufuatilia sana vitabu kunafanya uchanganyikiwe, yaani unakuta mada moja ina vitabu 1000+, hujui kipi uzingatie kipi uache, unapata information overload.

Kwahiyo naokota vitu ambavyo naona vitabu vingi vinarudia, na vile ambavyo sijawahi kusikia kabisa au kufikiri kwa namna hiyo(vile vya kushtusha)
 
ASANTE SANA MKUU KWA HIKI KITABU....
KUNA ILE THREAD IPO HUMU JAMII FORUM INAHUSU VITABU MBALI MBALI NAOMBENI MNISAIDIE LINK
 
Umenikumbusha siku moja nasafiri kwenye basi kuliwekwa video ya mijadala ya dini ya akina mazinge,wasio mjua mazinge huyu mwamba anaijua biblia ndani nje na huwa na mijadala mizito sana

Sasa kuna dada mmoja mkristo akaona akiendelea kumsikiliza huyu bwana sasa hivi atauacha ukristo,akaamua kuziba masikio yake

Inamaana watu kama hawa hawaijui vizur imani yao kiasi kwamba wanaogopa kusikia maarifa mapya
 
Hakuna kitabu kimoja ambacho kitakutoshereza kwa mawazo ya vitabu vyote,kila kitabu kina mawanda yake na ufafanuzi wake

Mimi ni mpenzi sana wa vitabu,hapa nilipo nina soma kitabu cha Thoughts to build on by M.R KOPMEYER

Ni kitabu kizur pia amegusia topic nyingi kwa muktasari,lkn asitokee mtu akasema eti kitabu kimoja kitakidhi maarifa yote ni uwongo

Jenga tabia ya kusoma vitabu mbali mbali utapata mambo mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…