Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina gari basi?Ukilipata naomba nipande
Ina vipengele gani hii gari?Toyota Alex
Yom: 2005
Cc 1490
Bei: 6m
View attachment 1957703View attachment 1957704View attachment 1957705View attachment 1957708View attachment 1957710
Kuna li hilux linauzwa mahali sijui bado lipo af bei ya mandaziWekapo natugari twa kazi boss tuoshapo macho..
akina Hilux na Nissan hard body
Basi hata ukipata byscle naomba nipande tuNina gari basi?
Na sredi nilivyoitolea macho.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2090][emoji2090][emoji2090]
Sasa 2nz na harrier wapi na wapiNi mhimu sana gari ni engine
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa 2nz na harrier wapi na wapi
Hakuna 1nz ya 1290 hiyo ni 2nzToyota vitz
Cc 1290
Yom: 2002
Engine: 1nz
Bei: 4m
View attachment 1958091View attachment 1958092View attachment 1958094View attachment 1958095View attachment 1958098
Hatari sana 😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amefanya kuambiwa so kachanganya 2AZ na 2NZ
Nimemshauri mwamba aachane na ufundi abaki na biashara yake, yuko vizuri sana namfatiliaHakuna 1nz ya 1290 hiyo ni 2nz
Niwekee nilione Broh kuna ile moja jamaa aliileta kwa 9m haijamaliza hata wiki wajuba washaibeba yan ule muda unasema ngoja nikopanye kopanye kuna mwamba yupo nakeshi mfuko washatiKuna li hilux linauzwa mahali sijui bado lipo af bei ya mandazi
Nissan hard board au hilux chaapuuKuna li hilux linauzwa mahali sijui bado lipo af bei ya mandazi