Car4Sale Pitia Uzi huu upate gari ya kipato chako

YAKUFUGWA HASWAA...
. [emoji594] TOYOTA WISH

Reg# DPB
Y.O.M 2006-2007
Low Mileages
Engine 1ZZ
Cc 1790
Full Ac
Full file
With new tires
Clean in and out
All duties and tax payed

Price: 10.9 Million

Location; DAR ES SALAAM














 
Toyota spacio
Cc 1490
Full ac
Bei: 8.7m

 
Toyota grand mak1
1 gx 110
Engine 1G vvti BMs 2000 full a/c
gari popote safari bei
million 3.9m
kwenye gari njoo upate kilicho bora




 
Ina nyumba viwili
Kimoja ni self contained
Kimoja ni single
Full tiles, gypsum and aluminium windows
Maji Na Umeme unajitegemea
Kodi ni 150,000/ ( kuanzia miezi 3+)

Location: Kitunda, Tumaini

alt="IMG-20211004-WA0051.jpg"]1962686[/ATTACH]
 

Attachments

  • IMG-20211004-WA0051.jpg
    19.2 KB · Views: 19
Hiv ile sela ya serikali ya kuwataka wenye nyumba kupangisha nyumba kwa kuchukua Kodi ya mwezi mmoja mmoja ilikufia wapi?

Anyway, Kama anachukua Kodi ya mwezi mwezi nije chapu sasa hivi.
 
Ipo na ya vyumba vitatu..nzuri Sana
Kodi 200k
 
Toyota crown athletes
Bei: 11.5m
 
Toyota Raum
Old model
Bei: 3.8m
 
Mimi habari ya kununua gari ya kujishikizia hainiingii akilini,najichangachanga nichukue kitu uhakika,sio una gari alafu akipita mrembo na IST tu unaisaliti gari yako unajifanya sio yako kwa namna ambavyo gari imechoka.

Huo ni mtazamo wangu binafsi waungwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…