Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ugonjwa mkubwa ni Gear box yake wenginwalikuwa wanaweka hdrolic za kawaida matokeo yake zimewaacha vibaya hawana hamuSamahani, Naomba niulize.
Hivi hizi Suzuki zina shida gani? Mbona zinauzwa bei ya chini hivi ukilinganisha labda na rav4 kilitime ya kuanzia hata 2001?
Hizi gari zina shida gani? Hadhi yake imeshuka au zinatatizo la kiufundi?
Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
Nashukuru kwa reply yako...Hizo ugonjwa mkubwa ni Gear box yake wenginwalikuwa wanaweka hdrolic za kawaida matokeo yake zimewaacha vibaya hawana hamu
Chukua 12ml mkuuToyota premio
New model
Cc 1490
Vvti
Yom: 2008
Bei: 14.8m
View attachment 1973998View attachment 1973999
Bado ipo hii?