Pitso Masomane ampigia saluti Pape Sakho

Pitso Masomane ampigia saluti Pape Sakho

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20220723_092838150874.jpg


My Take
Sakho sio wa kuuzwa hapa Afrika
 
Kwani tuzo aliyopewa ni ya wingi wa magoli au goli bora kuliko yote? Tuanzie hapo.
Kufunga goli bora hua ni bahati haihusiani na ubora Wa mchezaji , ubora Wa mchezaji unaonekana pale anapoisadia timu yake na c kufunga goli moja ,
 
First time kumuona Sakho anacheza niliwaambia marafiki zangu wengi tu na narudia tena ni mchezaji pekee kwenye league yetu anaweza kwenda kucheza ulaya siku moja na bado naamini hivyo, kipaji anacho sana akipata team nzuri na kocha mzuri ajue mambo madogo muhimu wapi pakukimbia na wapi pakuchukuwa option simple ni mtu ana kipaji na sio leo nasema kwa kuwa kapata tuzo ni from day one sio mtu wa kucheza league yetu hasa viwanja kama vya Mkwakwani sijui. Sakho ni mzuri kuliko hata wa kwetu Mbwana nilishangaa tu kumuona kaja huku ila siku zake zimefika na uhakika hata Ligue 1 hapo France atakwenda.
 
Hayo magoli huko kwenu aliyafunga nani? au mlitetemeshwa tu mwaka mzima mwishowe kiatu kikaenda kwa mwingine?

Wacha ushamba unateseka kwa maumivu.
Hawa kinachowasumbua ni wivu,roho mbaya na ulimbukeni. Wanaumia sana, na kwa dalili hizi msimu huu wataumia zaidi
 
Back
Top Bottom