First time kumuona Sakho anacheza niliwaambia marafiki zangu wengi tu na narudia tena ni mchezaji pekee kwenye league yetu anaweza kwenda kucheza ulaya siku moja na bado naamini hivyo, kipaji anacho sana akipata team nzuri na kocha mzuri ajue mambo madogo muhimu wapi pakukimbia na wapi pakuchukuwa option simple ni mtu ana kipaji na sio leo nasema kwa kuwa kapata tuzo ni from day one sio mtu wa kucheza league yetu hasa viwanja kama vya Mkwakwani sijui. Sakho ni mzuri kuliko hata wa kwetu Mbwana nilishangaa tu kumuona kaja huku ila siku zake zimefika na uhakika hata Ligue 1 hapo France atakwenda.