Pitso Masomane ampigia saluti Pape Sakho

View attachment 2300808

My Take
Sakho sio wa kuuzwa hapa Afrika
Pamoja na kuwa nilimpigia kura,ila goli bora haliwezi kumfanya mtu kuwa mchezaji bora, kilichoongezeka kwake ni kupata platform nzuri ya kujitangaza na watu kumfuatilia ni mchezaji wa aina gani..........japo akiacha utoto na kucheza kibinafsi na majukwaa anaweza kufika mbali
 
Sakho anawaumbua taratibu, mtetemo kwisha habari yakeee.

Habari kuu ni Mnyunyizooooooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sakho anawaumbua taratibu, mtetemo kwisha habari yakeee.

Habari kuu ni Mnyunyizooooooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akili ambazo Rage zilimtesa hizi
 
Mkuu hbri kama hizi hawataki kbsa kuzisikia wale wezi wa magari
 
Kufunga goli bora hua ni bahati haihusiani na ubora Wa mchezaji , ubora Wa mchezaji unaonekana pale anapoisadia timu yake na c kufunga goli moja ,
Hiyo bahati mbona hakuipata mayele

mayele ming'ombe
 
Kufunga goli bora hua ni bahati haihusiani na ubora Wa mchezaji , ubora Wa mchezaji unaonekana pale anapoisadia timu yake na c kufunga goli moja ,
Walioweka hizo category na wakato tuzo wana akili kuliko wewe utopolo😅😅

hebu kaomboleze adhabu ya zeruzeru huko
 
Kwakua kapigiwa salute na pitso sio!! Hivi timu za kaskazini mnazichukuliaje kwa mfano! Angalia mishahara wanayotoa halafu urudie maneno yako. Pale wydad kuna wachezaji wazuri zaidi ya sakho, ila washabiki wa simba some of them mtamkuza sana.
unakuwa hater mpaka unaishiwa hoja. Kimepongezwa kiwango au mshahara?
 
Kweli wewe ni kuku, goli bora LA ligi kachukua nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mbna mnalia na la Sakho? Akati mgonjwa wa degedege, alipewa na TFF.

byuti byuti.
 
Msimu mzima alikua na magoli mangapi ? Hebu tuanzie hapa
Mbona wewe umemsaili morrison na una vurugu kibao hapa mjini
Stats za morrison na sakho msimu uliopita zinafanana?
 
Binafsi kwenye pita pita zangu za Twitter, sijakutana na hiyo tweet ya Pitso
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mbna mnalia na la Sakho? Akati mgonjwa wa degedege, alipewa na TFF.

byuti byuti.
Tunawazoom tu mnavyofurahia ,
Lakini acha mfurahi maana ndio ubigwa wenu msimu huu goli LA sakho na kwenda misri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…