Pitso Matsomane mtu kazi, kocha mpya Simba

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Simba sports club are in talks with former Al Ahly head coach Pitso Matsomane, hao ndio Simba.

Zoran Mack ameomba mwenyewe ku terminate contract na Simba wamekubali baada ya kuona their discussions with Pitso Matsomane are in good condition.

Welcome Pitso Matsomane.
 
simba wana uwezo kumlipa Pitso milioni zaidi ya 200 kwa mwezi? huyo ameshavuka kiwango cha kufundisha timu kama za simba.
 
Subutu eti pitso masimane mshahara wake ni milioni 400 kwa mwezi,simba haeana huo ubavu
 
Mashabiki wa Tanzania akili zenu mnazijua nyie wenyewe tu, Ubavu wa simba kumuajiri pitso mosimane mmeutoa wapi na tajiri yenu bahiri uyo? Mnapenda sana kujitekenya na kucheka wenyewe
 
[emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477]
 
Hata aje kocha wa Man city mpira wa bongo huchezwa vilingeni tu😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…