Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kumlipa 300 mil mo hawezi?Tuache ndoto zisizo na maana
simba wana uwezo kumlipa Pitso milioni zaidi ya 200 kwa mwezi? huyo ameshavuka kiwango cha kufundisha timu kama za simba.
Bado ni mchezaji wa simbaSasa Mthungu itakuwaje?
Hata huyo atafukuzwa tu...kwa striker gani walienae?Simba sports club are in talks with former Al Ahly head coach Pitso Matsomane, hao ndio Simba.
Zoran Mack ameomba mwenyewe ku terminate contract na Simba wamekubali baada ya kuona their discussions with Pitso Matsomane are in good condition.
Welcome Pitso Matsomane
Kumbe mlipaji ni MO na si Simba?Kwani kumlipa 300 mil mo hawezi?
kocha Ana vigezo,je Simba Ina wachezaji wa kutosha wenye quality inayohitajika kwa kocha!?Hapansasa ukisikia watu wapo serious na champions league final wamchukue jamaa. Ila wajue lazima atatua na watu wake wawili. Mtaalam wa opposition scout na fitnes trainer wake mjuzi wa periodization.
In terms of quality ofcoz inabidi yeye kocha aamue na pia kama club wawe tayari kutumia pesa kununua wachezaji ambao kocha anapendekeza. Suala la kifika final ya champions league ni investment plus bahati pia.kocha Ana vigezo,je Simba Ina wachezaji wa kutosha wenye quality inayohitajika kwa kocha!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawezi kukubali kuigaragazà cv na record zake hapo uswahilini
nazungumzia kwa Sasa ambapo timu imeshasajili na inajiandaa na michuano mikubwa plus league sasa anapokuja mnategemea Bado aifikishe timu nusu final CAF na kubeba nbc league tittle!?ama mtamvumilia Hadi dirisha dogo!?In terms of quality ofcoz inabidi yeye kocha aamue na pia kama club wawe tayari kutumia pesa kununua wachezaji ambao kocha anapendekeza. Suala la kifika final ya champions league ni investment plus bahati pia.
Uzuri yeye mwenyewe mosimane alisema kabisa kuwa kama atarudi kwenye game na ni club football basi atachukua kazi ambayo ni project ya muda kidogo. Sio timu inacheza final alafu inapotea.nazungumzia kwa Sasa ambapo timu imeshasajili na inajiandaa na michuano mikubwa plus league sasa anapokuja mnategemea Bado aifikishe timu nusu final CAF na kubeba nbc league tittle!?ama mtamvumilia Hadi dirisha dogo!?
Hawezi kulipwa hiyo pesa lakini atakubali akiwa na malengo ya kuitumia simba kama ngazi!! Anaweza hata kulipa pesa ili apate fursa ya kuwa kocha wa Simba!! Hapo mnasemaje?simba wana uwezo kumlipa Pitso milioni zaidi ya 200 kwa mwezi? huyo ameshavuka kiwango cha kufundisha timu kama za simba.