Pitso Matsomane mtu kazi, kocha mpya Simba

Pitso Matsomane mtu kazi, kocha mpya Simba

Watamuaribia CV yake hakuna wachezaji hapo.wachezaji wa kusajili Barbara,mangungu nk
 
Kama onyango tu mnashindwa kutimiza mahitaji yake ya kimkataba ndo mtamuweza Pitso?
 
[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
Nguvu 1, Unstoppable!!!!!
 
Si ndo maana ukaambiwa Kuna mazungumzo?
ataamua yeye akubali au akatae OFA YETU kwani kushindwana ni kosa?
simba wana uwezo kumlipa Pitso milioni zaidi ya 200 kwa mwezi? huyo ameshavuka kiwango cha kufundisha timu kama za simba.
 
Na nyinyi Simba mmezidi jus tu Pablo Mara Goran Nani ataweza kufanya Kaz na babra Kaz kuwafukuza makocha kwa maelekezo ya moo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Simba sports club are in talks with former Al Ahly head coach Pitso Matsomane, hao ndio Simba.

Zoran Mack ameomba mwenyewe ku terminate contract na Simba wamekubali baada ya kuona their discussions with Pitso Matsomane are in good condition.

Welcome Pitso Matsomane
Hata huyo atafukuzwa tu...kwa striker gani walienae?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kwa kuongeza fun base, Pitso ni mtu sahihi sana.

Sema hatuna mipanga ama watu wa biashara ili uwepo wake tu katika timu usaidia kuongeza mapato.

Kuja simba sio lazima maslahi yalingane kama alipokuwa.

Kibongo bongo hata 50m and other benefits anatulia kbs na kupiga kazi.

Sema ndo hatuwezi sisi, hawa hawa wa gwala tuende nao.
 
Hawezi kukubali kuigaragazà cv na record zake hapo uswahilini
 
Hapansasa ukisikia watu wapo serious na champions league final wamchukue jamaa. Ila wajue lazima atatua na watu wake wawili. Mtaalam wa opposition scout na fitnes trainer wake mjuzi wa periodization.
kocha Ana vigezo,je Simba Ina wachezaji wa kutosha wenye quality inayohitajika kwa kocha!?
 
kocha Ana vigezo,je Simba Ina wachezaji wa kutosha wenye quality inayohitajika kwa kocha!?
In terms of quality ofcoz inabidi yeye kocha aamue na pia kama club wawe tayari kutumia pesa kununua wachezaji ambao kocha anapendekeza. Suala la kifika final ya champions league ni investment plus bahati pia.
 
nazungumzia kwa Sasa ambapo timu imeshasajili na inajiandaa na michuano mikubwa plus league sasa anapokuja mnategemea Bado aifikishe timu nusu final CAF na kubeba nbc league tittle!?ama mtamvumilia Hadi dirisha dogo!?
 
Uzuri yeye mwenyewe mosimane alisema kabisa kuwa kama atarudi kwenye game na ni club football basi atachukua kazi ambayo ni project ya muda kidogo. Sio timu inacheza final alafu inapotea.

Hivyo basi kama simba wanataka kumchukua ni wazi kuwa hiyo itakuwa mpango wa say tunaingi final twice in four seasons. Hapa mikataba ya mwaka mmoja mmoja haipo. Atawaambia minimum contract miaka mitatu. Mtiti ndio unaanza hapa.
 
simba wana uwezo kumlipa Pitso milioni zaidi ya 200 kwa mwezi? huyo ameshavuka kiwango cha kufundisha timu kama za simba.
Hawezi kulipwa hiyo pesa lakini atakubali akiwa na malengo ya kuitumia simba kama ngazi!! Anaweza hata kulipa pesa ili apate fursa ya kuwa kocha wa Simba!! Hapo mnasemaje?
 
Back
Top Bottom