Pitso Mosimame: Ulaya wanabagua makocha kutoka Afrika

Ni lini Afrika tutaacha kulialia ili tukubalike na race nyingine? Tuupe thamani mpira wetu ili hao makocha wa kizungu ndio walilie kuja kufundisha Afrika halafu na sisi tuwatose tu. Hatuna mashirikisho ya mpira? Serikali zetu hazina wizara za michezo? Hatuna vyombo vya habari kutupigia promo?. Kama balon dor wanapendelea wachezaji wazungu tunajitoa kwenye tuzo zao tunaanzisha za kwetu na sisi tunapendelea wachezaji wa kiafrika. Shida nini?
 
Una hoja
 
Naunga mkono hoja lakin napenda kutoa maoni yangu kwa nyongeza,

Kwanza tutoe neno ulaya tuweke neno wana football wanawabagua makocha waafrika.

Hoja yangu ya msingi ni,

Hapa tanzania wababe wa soka ni simba na yanga, je, makocha wao ni waafrika?

Kama sisi wenyewe waafrika hatuaminiani, wazungu wataanzaje kutuamini?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…