Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Ni lini Afrika tutaacha kulialia ili tukubalike na race nyingine? Tuupe thamani mpira wetu ili hao makocha wa kizungu ndio walilie kuja kufundisha Afrika halafu na sisi tuwatose tu. Hatuna mashirikisho ya mpira? Serikali zetu hazina wizara za michezo? Hatuna vyombo vya habari kutupigia promo?. Kama balon dor wanapendelea wachezaji wazungu tunajitoa kwenye tuzo zao tunaanzisha za kwetu na sisi tunapendelea wachezaji wa kiafrika. Shida nini?