KA BI SAAA!!!Pitso ni prof Nabi mtupu
Tanzania tunakupa Team, kibunda tutajua huko hukoHuyu pitso ni jamii ya kina Pep guardiolla yeye mpe team na kibunda tu mengine mwachie yeye kaziimeisha
Kabisa hiyo team aliyopandisha Saudia ni team kubwa sana tu Al Ahly ya Saudia ilishuka daraja lakini ni team ina fan base kubwa sana huko na huyu mwamba atapewa budget kubwa kuirudisha sehemu yake inayostahili ni club yenye mafanikio makubwa katika soka la huko nadhani imerudi sehemu yake na natabiri makubwa kwa hii club kwani ni kati ya team 4 ma giant huko.Wakuu
Afrika hii kuna makocha alafu kuna huyu mzee Pitso mosimane ni kocha nusu
Mwamba baada ya kuachana na Al Ahly ya Egypt Alisajiliwa na team ilioshuka daraja huko uarabuni..Rais wa team hiyo alimuahidi Pitso endapo atafanikiwa kuirudisha timu iyo ligi kuu uarabuni..Basi atapewa $1 million kama bonus tu bado kuongezewa mshahara n.k
Sasa majuzi miamba wamefanikiwa kupanda daraja kwahyo ni rasmi Pitso atachuana vikali na Kina Ronaldo.....Pia Messi nauhakika ataenda kuchezea ligi hiyo kwaajili ya pensheni..
Huyu pitso ni jamii ya kina Pep guardiolla yeye mpe team na kibunda tu mengine mwachie yeye kaziimeisha
Nawasilisha
Naam,tahal ya habib tahalPitso ni prof Nabi mtupu
Usimba na uyanga utawauwa yaani pitso unfananishe na Mhuni Nabi anywayPitso ni prof Nabi mtupu
Kabisa kabisa yaani.Pitso ni prof Nabi mtupu
Kilichobaki wasajili vizuri tuKabisa hiyo team aliyopandisha Saudia ni team kubwa sana tu Al Ahly ya Saudia ilishuka daraja lakini ni team ina fan base kubwa sana huko na huyu mwamba atapewa budget kubwa kuirudisha sehemu yake inayostahili ni club yenye mafanikio makubwa katika soka la huko nadhani imerudi sehemu yake na natabiri makubwa kwa hii club kwani ni kati ya team 4 ma giant huko.
Huyo kocha wa mechi za kununua ??Pitso ni prof Nabi mtupu
Kuna mashabiki wakiona hiyo jezi, watajawa na ghadhabu mpaka utajiuliza kulikoni?
Ni masikitiko makubwa sana Rage hapewi Maua yake kwanini lakini na sanamu lake linachelewa kujengwa! Watu wake hawa ni Mali ya Mirembe hospital Huku mtaani wanatumalizia chipsi zetu na mchuzi wa pweza tu, kweli Mbumbumbu kolo fc atabaki Mbumbumbu tu!!Huyo kocha wa mechi za kununua ??
Ni masikitiko makubwa sana Rage hapewi Maua kwanini lakini na sanamu lake linachelewa! Watu wake hawa ni Mali ya Mirembe hospital Huku mtaani wanatumalizia chipsi zetu tu, kweli Mbumbumbu atabaki Mbumbumbu tu!!
Mpira wa Nabi unauona second half Yanga wakicheza kama Brazil!!
Hivi tukikuita kolo wewe uje jangwani utasema mbele yetu kuwa Yanga pia imenunua mechi za kuwatoa waarabu na Rivers United shirikisho?
Hebu rudisha akili kichwani uweze hata kuvuka Barabara! Yani Prof Nabi kubeba NBC premier league mara ya pili na kuingia nusu fainali shirikisho umeumia sana jombaa!!
Nabi ni kocha mkubwa wa makombe itabaki hivyo!
Sote tunafahamu isipokuwa wewe kuwa Yanga wananunua mechi.Ni masikitiko makubwa sana Rage hapewi Maua kwanini lakini na sanamu lake linachelewa! Watu wake hawa ni Mali ya Mirembe hospital Huku mtaani wanatumalizia chipsi zetu tu, kweli Mbumbumbu atabaki Mbumbumbu tu!!
Mpira wa Nabi unauona second half Yanga wakicheza kama Brazil!!
Hivi tukikuita kolo wewe uje jangwani utasema mbele yetu kuwa Yanga pia imenunua mechi za kuwatoa waarabu na Rivers United shirikisho?
Hebu rudisha akili kichwani uweze hata kuvuka Barabara! Yani Prof Nabi kubeba NBC premier league mara ya pili na kuingia nusu fainali shirikisho umeumia sana jombaa!!
Nabi ni kocha mkubwa wa makombe itabaki hivyo!
Nabi kafanya nini Yanga? acheni kumlinganisha Pitso-mwamba wa Africa-na vitu vya kijingaPitso ni prof Nabi mtupu
Labda ungetaja mechi alizonunua Nabi itapendeza!Sote tunafahamu isipokuwa wewe kuwa Yanga wananunua mechi.