KENGE 01
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 1,705
- 4,217
Wakuu
Afrika hii kuna makocha alafu kuna huyu mzee Pitso mosimane ni kocha nusu
Mwamba baada ya kuachana na Al Ahly ya Egypt Alisajiliwa na team ilioshuka daraja huko uarabuni..Rais wa team hiyo alimuahidi Pitso endapo atafanikiwa kuirudisha timu iyo ligi kuu uarabuni..Basi atapewa $1 million kama bonus tu bado kuongezewa mshahara n.k
Sasa majuzi miamba wamefanikiwa kupanda daraja kwahyo ni rasmi Pitso atachuana vikali na Kina Ronaldo.....Pia Messi nauhakika ataenda kuchezea ligi hiyo kwaajili ya pensheni..
Huyu pitso ni jamii ya kina Pep guardiolla yeye mpe team na kibunda tu mengine mwachie yeye kaziimeisha
Nawasilisha