Pitso Mosimane ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Bournemouth ya EPL

Pitso Mosimane ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Bournemouth ya EPL

Dong Jin

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
968
Reaction score
2,034
Aliyekuwa kocha wa Mamelodi Sundowns na Al ahly ameteuliwa na klabu ya Bournemouth kuwa mkurugenzi wa ufundi.

Awali ilisemekana "Mlete mdhungu fc" wana mpango wa kumleta kocha huyo mwenye CV iliyotukuka zaidi katika mpira wa bara hili 🤣🤣🤣 baada ya timu hiyo kumtimua kocha wao wa dunia Zolan Mabeti! 🤭
FB_IMG_1662726038704.jpg
 
Kwani huyu si kaenda malawi na kikosi chake kuikabili Nyasa Big Bullet?
Aliyeenda Malawi si ni yule pep guardiola mtumbozi....
Meteee mgunda mletee Mgunda. Hiyo ndo habari ya mujini.,wenye vijiba vya roho mtapata tabu sana. Hii club inawaendesha sana uzi wa club ya EPL huko nyie mnaiota Simba hhahahaaaaa
Mlete mdhungu fc mwaka huu mmeishaaa... Kwa ubabaishaji huu wa hadi kuazima makocha, ni kweli kwamba ile bilioni 26 iliandikwa kwenye jezi tu na si vinginevyo 🤣🤣🤣🤣
 
Sisi
Aliyeenda Malawi si ni yule pep guardiola mtumbozi....

Mlete mdhungu fc mwaka huu mmeishaaa... Kwa ubabaishaji huu wa hadi kuazima makocha, ni kweli kwamba ile bilioni 26 iliandikwa kwenye jezi tu na si vinginevyo 🤣🤣🤣🤣
Sisi hatuna wasiwasi kazi kwenu nyie waandishi maana mnasubiri matukio muandike na mtaandika sana
 
Welldone Pitso, mmmmmm mtoa uzi pls source ya hii information umeitoa wapi maana hata kwenye website ya hiyo timu haipo, labda iam missing something here
 
Back
Top Bottom