Pitso Mosimane ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Bournemouth ya EPL

Pitso Mosimane ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Bournemouth ya EPL

Hongera sana Pitcho kawaoneshe Wazungu kwamba Afrika tunaweza
 
Aliyekuwa kocha wa Mamelodi Sundowns na Al ahly ameteuliwa na klabu ya Bournemouth kuwa mkurugenzi wa ufundi.

Awali ilisemekana "Mlete mdhungu fc" wana mpango wa kumleta kocha huyo mwenye CV iliyotukuka zaidi katika mpira wa bara hili 🤣🤣🤣 baada ya timu hiyo kumtimua kocha wao wa dunia Zolan Mabeti! 🤭View attachment 2351390
Hongera zake kama ni kweli. Hebu tuwekee source ya hii taarifa
 
Alisha kuwepo Ruudgult tangu 1996 pale Chelsea, Viera wa juzi tu.
Wakina Paul ince walishakua makocha kabla ya Viera.
Chelsea ndio timu pekee inayothamini wachezaji weusi na kuwapa nafasi kubwa maishani.
 
Back
Top Bottom