mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Simba hawezi kujifunza kwa timu ndogo ambayo haijawahi kuvuka hatua ya makundi ktk mashindano ya CAF .Ajifunze kipi labda? Kufungwa nje ndani? Au una Maana gani?Yes team za africa ikiwemo Simba wajifunze kutoka kwa Yanga.
Amesema "like European teams"! Kama Yanga ni European team sawa!!Samahani amesema tujifunze kwa yanga au tujifunze kwa timu za ulaya?
Simba hawezi kujifunza kwa timu ndogo ambayo haijawahi kuvuka hatua ya makundi ktk mashindano ya CAF .Ajifunze kipi labda? Kufungwa nje ndani? Au una Maana gani?
Wadogo, punguzeni munkari basi! Kwani mkijifunza mambo mazuri kama haya kutoka kwa kaka yenu Yanga, mtapungukiwa nini?Yanga hii hii iliyopigwa nje ndani na rivers united..?
ElimuSamahani amesema tujifunze kwa yanga au tujifunze kwa timu za ulaya?
Sawa wakubwa zetu tutawaiga,,,ila tunaomba muongozo wenu pia kwenye CAF champions leagueWadogo, punguzeni munkari basi! Kwani mkijifunza mambo mazuri kama haya kutoka kwa kaka yenu Yanga, mtapungukiwa nini?
Yeye kasema Utopolo, usimlishe manenoMakološ¤£
Msimu huu, tutawafungulia njia kwa kuishia nusu fainali.Sawa wakubwa zetu tutawaiga,,,ila tunaomba muongozo wenu pia kwenye CAF champions league