Point inabaki kwamba nchi za afrika sijifunze kwa yanga.. hamna alie uliza Yanga imejifunza wapi [emoji23]Point Ni kwamba Yanga ilijifunza kwa kwa timu za ulaya....mfano real Madrid....walivyokuwa wanasherekea ubingwa wa UEFA...
So mosimane anahimiza timu za Africa zifunze kwa yanga.....
MAKOLO....mna Safari ndefu kielimuHahah. Hamna jipya, huyo aliwakubali simba kwa mpira mzuri na alichezea kuchapo hapa Dar akiwa na hiyo timu unayoiita mabingwa wa kihistoria afrika na katika hilo kundi simba aliongoza. Unaposti ujinga kwa kuwakubili yanga kwa kukata viuno barabarani
Mnapongezwa kushangiliaAliekuwa kocha mkuu wa mabingwa wa kihistoria wa club kubwa ya Al ahyl ya misri pitso mosimane ameukubali mziki wa mabingwa wa kihistoria Tanzania YANGA kwa namna walivyofanya gwaride la kusherekea ubingwa.....ambalo halijawahi tokea Africa na kufananisha na namna timu za ulaya zinavyosherekea ubingwa wao
Haya Ni maneno aliyoyasema Pitso Mosimane [emoji116][emoji116][emoji116]
" Conglatulation Yanga1935
Africans can also do their trophy like Europeans teams
We needs to see more of these parades because it show the love and passion of the supporters
Beauty of African football
Maendeleo hayana chama.
View attachment 2274282
Fake hii mbona hakuna GSM hapo kama mdhamini?Hatimaye FIFA......wamekubali mziki wa yangaView attachment 2274915
Ukame unaweza kufanya ubake, ndio kinacho onekana kwa YangaMAKOLO....mna Safari ndefu kielimu
Tff au FIFA hawa. Mashabiki wa yanga hovyo sana.Hatimaye FIFA......wamekubali mziki wa yangaView attachment 2274915
Al Ahly wamecheza na Yanga?Aliekuwa kocha mkuu wa mabingwa wa kihistoria wa club kubwa ya Al ahyl ya misri pitso mosimane ameukubali mziki wa mabingwa wa kihistoria Tanzania YANGA