Pitso mosimane: Tunahitaji timu za Afrika kujifunza kwa Yanga

Pitso mosimane: Tunahitaji timu za Afrika kujifunza kwa Yanga

Point Ni kwamba Yanga ilijifunza kwa kwa timu za ulaya....mfano real Madrid....walivyokuwa wanasherekea ubingwa wa UEFA...

So mosimane anahimiza timu za Africa zifunze kwa yanga.....
Point inabaki kwamba nchi za afrika sijifunze kwa yanga.. hamna alie uliza Yanga imejifunza wapi [emoji23]
 
Hahah. Hamna jipya, huyo aliwakubali simba kwa mpira mzuri na alichezea kuchapo hapa Dar akiwa na hiyo timu unayoiita mabingwa wa kihistoria afrika na katika hilo kundi simba aliongoza. Unaposti ujinga kwa kuwakubili yanga kwa kukata viuno barabarani
 
MAKOLO....mna Safari ndefu kielimu
 
Hatimaye FIFA......wamekubali mziki wa yanga
FB_IMG_16563551061158629.jpg
 
Aliekuwa kocha mkuu wa mabingwa wa kihistoria wa club kubwa ya Al ahyl ya misri pitso mosimane ameukubali mziki wa mabingwa wa kihistoria Tanzania YANGA kwa namna walivyofanya gwaride la kusherekea ubingwa.....ambalo halijawahi tokea Africa na kufananisha na namna timu za ulaya zinavyosherekea ubingwa wao

Haya Ni maneno aliyoyasema Pitso Mosimane [emoji116][emoji116][emoji116]

" Conglatulation Yanga1935
Africans can also do their trophy like Europeans teams

We needs to see more of these parades because it show the love and passion of the supporters

Beauty of African football

Maendeleo hayana chama.

View attachment 2274282
Mnapongezwa kushangilia
 
Kwa miaka 30 iliyopita historia ya uto kwenye mashindano ya Afrika ikoje?

Yani Mamelodi, Ahly, Simba, Horoya n.k wajifunze wapi?
 
Back
Top Bottom