Pitso mosimane: Tunahitaji timu za Afrika kujifunza kwa Yanga

Kwa miaka 30 iliyopita historia ya uto kwenye mashindano ya Afrika ikoje?

Yani Mamelodi, Ahly, Simba, Horoya n.k wajifunze wapi?
Wajifunze kwa WANANCHI....
 
Akili za mavi hizi kuwa na gwaride la kutembeza ubingwa halafu timu haina uwanja. Huu ni ujinga wa karne
 
Akili za mavi hizi kuwa na gwaride la kutembeza ubingwa halafu timu haina uwanja. Huu ni ujinga wa karne
Mwafrika ni mwafrika tu. anaacha kushauri vitu vya maana. probably akili ndogo na kukosa vision ndio kumemtoa Ah Ahl
 
Uzuri hata LaLiga, pitso mosimane, FIFA wanajua ukubwa wa YANGA
La liga wamekula pesa ya chura, Mosimane anampa support ndugu yake Senzo maana hakuna cha kufurahia kiasi kile kwa kikombe cha nyumban, kuhusu FIFA ni kawaida yao hata sisi wekundu wa msimbazi walitupongeza sana sio habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…