Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makombe ya ndani tuu, kimataifa ni Simba , Ukame wa miaka 4 ndio kitu kilicho fanya akili ivuruganeYANGA ndio timu yenye makombe mengi Tz
Mbona vilabu viliendelea kutumia ile nembo ? au walikuwa wanajitolea?Sio fake.....GSM alijitoa View attachment 2275074
Local achievement haijawai kuwa habari kiasi hiki, hizi ni hasira za miaka 4 bila kombeKuchukua ubingwa......kufanya parade kubwa Africa
Ana mpa support ndugu yake Senzo, huwezi poteza mda kusifia ushangiliaji kwa timu yenye 0.5 pointkujifunza upuuzi. unawezaje kuwa kocha mkubwa halafu unaandika ujinga
lakini ujue wale hawaanzi raundi ya awaliYaaaah tutakutana nao ....clabu bingwa
Mwafrika ni mwafrika tu. anaacha kushauri vitu vya maana. probably akili ndogo na kukosa vision ndio kumemtoa Ah AhlAkili za mavi hizi kuwa na gwaride la kutembeza ubingwa halafu timu haina uwanja. Huu ni ujinga wa karne
We uwanja unao?Akili za mavi hizi kuwa na gwaride la kutembeza ubingwa halafu timu haina uwanja. Huu ni ujinga wa karne
La liga wamekula pesa ya chura, Mosimane anampa support ndugu yake Senzo maana hakuna cha kufurahia kiasi kile kwa kikombe cha nyumban, kuhusu FIFA ni kawaida yao hata sisi wekundu wa msimbazi walitupongeza sana sio habariUzuri hata LaLiga, pitso mosimane, FIFA wanajua ukubwa wa YANGA