Pius Msekwa amkatia simu Mwandishi wa Habari baada ya kumbana kuhusu Katiba

Pius Msekwa amkatia simu Mwandishi wa Habari baada ya kumbana kuhusu Katiba

Kajichanganya Mzee wa Watu. Kila mtu ana maoni yake binafsi hapo hapo usitafute maoni yangu binafsi.

Msemaji Mkuu wa serikali ya JMT alituahidi kutuletea mtaalamu wa kero za Muungano atufafanulie kuhusu zile kero 11 zilizopatiwa ufumbuzi na awamu hii ya sita.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka sana

😇😇😇😇😇😇 nime staajabu sana

😂😂😂😂😂😂 nimesikitika sana
 
Hahahahahaha Babu Msekwa KASTUKA LOL!!!

Wanataka kumkatisha Mafao yake Mzee wa watu.

Akidai katiba Mpya tu kesho ataokotwa Police central kaa Ugaidi.

We mwandishi mwache mzee wa watu amalizie pension yake salama.
 
Eti mimi siko serikalini!! 😂😂😂😂😂

Wanataka kumkatisha Mafao yake Mzee wa watu.

Akidai katiba Mpya tu kesho ataokotwa Police central kaa Ugaidi.

We mwandishi mwache mzee wa watu amalizie pension yake salama.
 
Huu ni UFINYU mkubwa wa akili. Unadhani kwanini kwenye katiba kuna kipengele cha kuruhusu raia kuikosoa Serikali na waliomo ndani ya Serikali! Wapuuzi kama wewe ni tatizo kubwa sana nchini. Miaka 60 ya uhuru nchi iko hovyo hovyo tu hakuna lolote lile la kujivunia lakini wapuuzi nyinyi HAMLIONI HILO.

Kasirika tu ila nikuulize BAK, Nchi ipo pale, pale wewe umefanya nn kuinasua?

🤣Maoni yake uyapendayo kuyasikia inawezekana kayatoa humu JF na fake id kama wengine.

Watu wanapenda mteremko kweli, wengine watake risk, wao waje wasifie humu na fake Id🤣🤣 wakishushia ugali tembele nyumbani na wapenzi wao.

Mzee pumzika na kapension kako usitake vita na mamlaka ili upewe sifa za ujasiri na cowards vijana wasioweza hata kukupongeza hadharani na identity zao.
 
😂😂😂😂😂😂 kaamua kuchomoa Mkuu. Heri nusu shari kuliko shari kamili
Kachomoa wazi wazi.

Daah Mzee hadi unamuonea huruma.

Ndio Mzee wa Kigoda cha mwimi nyerere huyu😅😅😅
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Kasirika tu ila nikuulize BAK, Nchi ipo pale, pale wewe umefanya nn kuinasua?

🤣Maoni yake uyapendayo kuyasikia inawezekana kayatoa humu JF na fake id kama wengine.

Watu wanapenda mteremko kweli, wengine watake risk, wao waje wasifie humu na fake Id🤣🤣 wakishushia ugali tembele nyumbani na wapenzi wao.

Mzee pumzika na kapension kako usitake vita na mamlaka ili upewe sifa za ujasiri na cowards vijana wasioweza hata kukupongeza hadharani na identity zao.
Mzee tunajua msimamo wake ni Katiba Mpya. Anahofia roho yake😅😅😅
 
Mzee tunajua msimamo wake ni Katiba Mpya. Anahofia roho yake😅😅😅
Mm sina tatizo na mzee kabisa,🤣 anaeleweka.

Ila kuna mtu na fake id mpaka fake email humu anatafuna ugali sa hizi huku anaandika mhhhh wazee hovyo sana hawa, waoga waoga, yam yam yam..... matonge yanashuka tu.
 
Back
Top Bottom