Pius Msekwa amkatia simu Mwandishi wa Habari baada ya kumbana kuhusu Katiba

Kajichanganya Mzee wa Watu. Kila mtu ana maoni yake binafsi hapo hapo usitafute maoni yangu binafsi.

Msemaji Mkuu wa serikali ya JMT alituahidi kutuletea mtaalamu wa kero za Muungano atufafanulie kuhusu zile kero 11 zilizopatiwa ufumbuzi na awamu hii ya sita.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 nimecheka sana

πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡ nime staajabu sana

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimesikitika sana
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 nimecheka sana

πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡ nime staajabu sana

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimesikitika sana
Hofu hofu hofu
 
Amekwepa kubambikiwa kesi ya ugaidi!
Ccm ni hatari sana kuliko hata hizo barakoa na sindano zao na maji ya kuwasha wanazochoma watoto wetu wa changa hili DUDU waliondoe kabisaa
 
Hahahahahaha Babu Msekwa KASTUKA LOL!!!

Wanataka kumkatisha Mafao yake Mzee wa watu.

Akidai katiba Mpya tu kesho ataokotwa Police central kaa Ugaidi.

We mwandishi mwache mzee wa watu amalizie pension yake salama.
 
Eti mimi siko serikalini!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wanataka kumkatisha Mafao yake Mzee wa watu.

Akidai katiba Mpya tu kesho ataokotwa Police central kaa Ugaidi.

We mwandishi mwache mzee wa watu amalizie pension yake salama.
 

Kasirika tu ila nikuulize BAK, Nchi ipo pale, pale wewe umefanya nn kuinasua?

🀣Maoni yake uyapendayo kuyasikia inawezekana kayatoa humu JF na fake id kama wengine.

Watu wanapenda mteremko kweli, wengine watake risk, wao waje wasifie humu na fake Id🀣🀣 wakishushia ugali tembele nyumbani na wapenzi wao.

Mzee pumzika na kapension kako usitake vita na mamlaka ili upewe sifa za ujasiri na cowards vijana wasioweza hata kukupongeza hadharani na identity zao.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kaamua kuchomoa Mkuu. Heri nusu shari kuliko shari kamili
Kachomoa wazi wazi.

Daah Mzee hadi unamuonea huruma.

Ndio Mzee wa Kigoda cha mwimi nyerere huyuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Reactions: BAK
Mzee tunajua msimamo wake ni Katiba Mpya. Anahofia roho yakeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mzee tunajua msimamo wake ni Katiba Mpya. Anahofia roho yakeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mm sina tatizo na mzee kabisa,🀣 anaeleweka.

Ila kuna mtu na fake id mpaka fake email humu anatafuna ugali sa hizi huku anaandika mhhhh wazee hovyo sana hawa, waoga waoga, yam yam yam..... matonge yanashuka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…