Pius Msekwa: Kwa mujibu wa Katiba, mpaka sasa Halima Mdee na wenzake hawana sifa za kuwa Wabunge

Dawati la jinsia kufanya nn wakati haki inapatikana mahakamani na si vinginevyo

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app

Katiba ya CHADEMA inasema mtu akipeleka Shauri la chama mahakamani amejifukuza chama hilo ni kosa pia la kufukuzwa chama sababu hata jana wameambiwa wanaweza kata rufaa halmashauri kuu ya chama sasa kwenda mahakamani ni kukiuka katiba ya CHADEMA
 
Time will tell.

Tuone hili sakata litaisha vipi. Iam sick and tired of being sick and tired

Kwa mujibu wa katiba Yes

Ila.........let us give time to time. Yajayo.......

Ni kweli na jana ulisema Magufuli ndio katiba na sheria. Ngoja tuone kati ya katiba na rais nani ana nguvu.
 

Viongozi wa CHADEMA hawana uwezo wa kumchagua mtu aliye mahabusu anakwendaje kula kiapo hata mtu mjinga kabisa anaelewa kuwa hapo CHADEMA hawajahusika ndiyo maana hata hao covid wameogopa kwenda kwenye kikao japo walikuwa wanajimwamnafai ati wanamshukuru Mbowe nyokoo Mbowe gani huyo mnayeogopa hata kumtazama usoni sababu ya usaliti wao
 
kesho kutwa chadema ipeleke majina stahiki wakaapishwe bungeni, hawa wasaliti warudi nyumbani wakalee familia

Hakuna kupeleka majina kwenye hiyo Bunge la wizi wa kura wabakie hao CCM wanaweza mambo ya wizi CHADEMA ni chama kinachojitambua hakiwezi kuwa sehemu yahuo uchafuzi uliofanyika tarehe 28/10
 
Yaani unaiezi mitatu tu humu na watu huwajui unaleta ujuaji wewe taga,haya kachukue buku saba yako
Unajuaje kama mimi si mwanzilishi? Yote Tisa ukweli ni kuwa Halima na wenzake 18 ni wabunge halali
 

Mamlaka ya kupendekeza hao wabunge haikupendekeza hao kisheria hukuwahi kuwa wabunge sababu wamependekezwa kwa barua ya kugushi sasa hiyo mahakama itawasaidiaje watu ambao chama chao hakukuwa kimewapendekeza wamependekezwa na NEC badala ya chama
 
Hii aione comrade Pascal Mayalla
 
Huo ndio ukweli mchungu. Wakatafute chama cha kuchezea siyo chadema.
Wanaenda mahakamani kupinga hayo maamuzi afu mahakama inatengua maamuzi ya chadema ya kuwavua uanachama wao mpaka shauri lao litakaposikilizwa hivyo wataendelea kuwa wabunge.

Hii ni kwa mujibu Wa sheria
Rejea issue ya Zitto Kabwe kufukuzwa chadema lakini akabaki kuwa mbunge.
Rejea pia issue ya Cecil Mwambe.
 
Every one knows this constitutional article. It is only the hard heads like Ndugai that violate it maliciously. Our lawyers and judges are dumb and mum; looking helplessly at Ndugai and his associates using the constitution as a toilet material. It is a pity!
 
Lakini tukumbuke Magufuli, Ndugai na Ibrahim Juma wamejitungia Sheria ya kutoshitakiwa Ikiwa watafanya makosa ya Ukiukaji wa Katiba na Sheria za nchi wakiwa madarakani...

Kwa hivo kama walivokiuka Katiba kwa kuwateua akina Mdee, wakakiuka Kanuni za Bunge kuwaapisha, na wakaahidi kuwalinda kwa "NGUVU ZOTE" (maana yake hata katika Mazingira ya Kuvunja Katiba), Basi akina Mzee Mdee wataendelea kuwa "WABUNGE"

Tukumbuke Wabunge wa CCM na Magufuli mwenyewe hawajachaguliwa na Mtu yeyote kushika nyadhifa walizo nazo, So hawa Washenzi hawataona Aibu kuwa na akina Mdee Bungeni

Ni Upumbavu sana kuacha nchi iongozwe na Huyu mpuuzi
 
Kikatiba; hawataendelea kuwa wabunge hadi shauri lao liamliwe kwa wao kushinda. La sivyo, imekula kwao; labda Ndugai atumie mabavu kama kawaida yake.
 
Kichekesho cha asubuhi,
Akihojiwa na Azam FM Radio, Propesa Kitila Mkumbo amedai kuwa hata baada ya kuvuliwa uanachama, akina Halima watakuwa wabunge wa Jamhuri. Lakini huyohuyo pia kawataka kwenda mahakamani kudai uanachama wao.
Kama wanajua kwamba watakuwa wabunge wa jamhuri kwa nini wasibaki hivyo, kwa nini waende mahakamani
 
Kichekesho cha asubuhi,
Akihojiwa na Azam FM Radio, Propesa Kitila Mkumbo amedai kuwa hata baada ya kuvuliwa uanachama, akina Halima watakuwa wabunge wa Jamhuri. Lakini huyohuyo pia kawataka kwenda mahakamani kudai uanachama wao.
Hawa wanaojiita Madoctor awamu hii hata huwezi kuwaamini, kuanzia na Dr mkuu
 
Kikatiba; hawataendelea kuwa wabunge hadi shauri lao liamliwe kwa wao kushinda. La sivyo, imekula kwao; labda Ndugai atumie mabavu kama kawaida yake.
Hivi huyu yupo JUU ya sheria? Mbona anamwangusha mzee John Malecela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…