Pixel 3xl inakataa kusoma line

Pixel 3xl inakataa kusoma line

Corner stone

Member
Joined
Jan 3, 2020
Posts
32
Reaction score
30
Habari ya wakati huu wadau wa taknolojia. Nina shida na pixel 3xl yangu, nilikua naitumia Vizuri ghafla ikaniandikia there is no sim card though nimeweka sim card, nikarajibu kutoa Line na kuweka, kubadilisha line, kureboot, kureset network settings lakin haijasaidia shida bado Iko. Naombeni msaada wenu
Screenshot_20230704-143716.png
 
Habari ya wakati huu wadau wa taknolojia. Nina shida na pixel 3xl yangu, nilikua naitumia Vizuri ghafla ikaniandikia there is no sim card though nimeweka sim card, nikarajibu kutoa Line na kuweka, kubadilisha line, kureboot, kureset network settings lakin haijasaidia shida bado Iko. Naombeni msaada wenuView attachment 2678356
Nunua nyingin3 , kariakoo used 250k
 
Back
Top Bottom