Pixie Oranges ni machungwa ya kuwekeza kwa sasa kwa ajili ya Biashara

Sawa, tujadili uwezekano wa kuwekeza kwenye machungwa aina ya Pixie kwa ajili ya biashara.

Angalia kwanza video hii kwa kina HAPA

Kuelewa kama machungwa aina ya Pixie ni uwekezaji mzuri kwa sasa inahitaji kuzingatia mambo kadhaa muhimu:
Faida za Kuwekeza kwenye Machungwa Aina ya Pixie:

Uhitaji wa Soko: Machungwa ni matunda yenye soko kubwa na la kudumu. Iwapo aina ya Pixie ina sifa za kipekee kama vile ladha nzuri, ukubwa, au urahisi wa kuhifadhi, inaweza kuwa na mahitaji makubwa zaidi.
Bei Nzuri: Ikiwa bei ya machungwa aina ya Pixie ni nzuri katika soko, inaweza kuleta faida kubwa kwa mwekezaji.
Uwezekano wa Kuongeza Thamani: Kupitia usindikaji, kama vile kutengeneza juisi au jamu, unaweza kuongeza thamani ya mazao yako na kupata faida zaidi.

Changamoto na Mambo ya Kuzingatia:

Angalia hii HAPA
Mashindano: Soko la machungwa linaweza kuwa na ushindani mkubwa kutoka kwa wakulima wengine au nchi zinazozalisha machungwa kwa wingi.
Magonjwa na Wadudu: Machungwa yanaweza kushambuliwa na magonjwa na wadudu, ambayo yanaweza kusababisha hasara kubwa.
Mabadiliko ya Hali ya Hewa: Mabadiliko ya hali ya hewa yanaweza kuathiri uzalishaji wa machungwa, kwa mfano, ukame unaweza kupunguza mavuno.
Gharama za Uzalishaji: Gharama za uzalishaji, kama vile mbolea, dawa za kuulia wadudu, na umwagiliaji, zinaweza kuwa kubwa.
Hali ya Soko: Bei za mazao zinaweza kubadilika-badilika kutokana na mambo mbalimbali kama vile usambazaji, mahitaji, na sera za serikali.

Kwa maelezo zaidi, unaweza kutafuta ushauri kutoka kwa wataalamu wa kilimo katika eneo lako pia fuatilia video hii HAPA
 
Pixie Orange ni yale machungwa tunayaona kwa Super Market yakitokea either Egypt au South Africa au Zimbabwe. Hizo nchi tatu ndio wazalishaji wakubwa wa Pixie Orange Africa.

View attachment 3087553

Yale machungwa ya Muheza ukweli usemwe sio machungwa ya kibiashara yaani Comercial breed, yale ni ya kulishana sisi Kibongobongo ndio maana Suoer Marjet kubwa huwezi yakuta kabisa.

View attachment 3087554

Machungwa ya muheza ni limao zilio enda International School. Pixie Orange.

Haya ni machungwa Seedless na very Orange na yana sukari nyingi sana ambayi ni cross ya Tangarine aina ya chenza na chungwa.

Pixie yana uzaaji mkubwa sana na na pia ni machungwa ya juice.

Kwa wanao venture kwenye Machungwa hizi Pixie ndio machubgwa ya kulima now kwa ajili ya baadae sasa.

Unaweza andaa miche yako mwenyewe kama unataka kuotesha lager scale.

Ukiweka Pixie Orange sokoni na yale ya muheza, itabisi pixie ziishe kwanza kabisa ndio raia sasa waanze kununua zile limao.

Machungwa yanafanya vyema kwenye maeneo yenye mvua ya wastani sana na jua la muda mrefu.

Udongo wenye rutuba yaani deep, fertile na well-drained soil ni muhimu sana sasa angalia eneo lako udongo una rutuba? Kama una rutuba jiulize tena hali ya hewa ikoje? make eneo lako linaweza kuwa na rutuba ila likawa na baridi ya hatari sana.

PH ya Udongo Ina range kuanzia 6.5 – 7.3.

Mvua ya kiwango cha wastani sana maeneo ya arid and semi-arid yanafaa sana,Pia Irrigation inaweza tumika.

Ukanda mwingi wa Pwani unabakia kuwa ukanda Bora wa kilimo cha machungwa kibiasnara, hasa maeneo ya Tanga na Handeni yote hio na Muheza. Baadhi ya maeneo ya Kilimanjaro pia kama Same, Mwanga na baadhi ya maeneo ya Rombo.

Pia Morogoro inafaa sana, Lindi na Mtawara.

Kama ni Kibiashara basi tafuta shamba maeneo hayo kwa ajili ya machungwa.

Pia maeneo ya Kigoma kama Kibondo au Kasulu kunafaa sana kulima machungwa kibiashara.

Hayo ni maeneo nilio fika sana kwingine sihawahi fika sana so sijui kukoje.

NB: Toa kabisa maeneo ya baridi kwenye kilimo cha machungwa.
Kwa hiyo kwa mkoa wa Dodoma twaweza lima aina hii ya machingwa mkuu
 
Kwahiyo mimi nipo mtwara nilikuwa nahitaji vikonyo ili nije kubebesha je utaratibu upoje?
 
Mkuu hivi unayafahamu machungwa ya kisiwani ukerewe kweli?.

Hakuna machungwa matamu kama yale mkuu.
 
GNO?
 
Seedless=GMO!
 
Bongo kumejaa wajuaji uchwara sana, Unajua Historia ya seedless Oranges? tupunguze ujuaji uchwara wamati hakuba tunacho jua, forum imejaa watafuta sifa za kijinga tu
That is my understanding, kwani huwezi kufanya polite/friendly engagement, mpaka unajitransform into Paranoid Schizophrenic/lunatic? , which is bad for your own mental health, mi siko serious napita tu we unabaki na kovu kwa ubongo wako😇
 
Back
Top Bottom