PJ, Lizzy, B52,AMYNER hodiiiiiiiiiii

Karibu. . .
And yeahhh. . BYshanga nae yupo, kwani kuna aliyekwambia mgeni unatakiwa kuwa wewe tu?
 
Karibu. . .
And yeahhh. . BYshanga nae yupo, kwani kuna aliyekwambia mgeni unatakiwa kuwa wewe tu?

hii inaitwa tahadhari kabla ya hatari...
 
Afadhali nimekukuta mzima, kupotea unadhani napenda basi?? Ni majukumu tu yananizidia!
Pole sana....Mi niko poa naendelea na majukumu ya weekend kama kawaida....
 
Hata wewe waniona nimepotea, mbona ni juzi tu tumekutana?? Btw, am cool.....mzima wewe?

yap, sijakuona yapata 2 days nao! sijambo ila kina b52 hawaonekani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…