Placement za PSRS kuchelewa kwa muda mrefu

Placement za PSRS kuchelewa kwa muda mrefu

Lukwale26

New Member
Joined
Dec 15, 2023
Posts
1
Reaction score
0
Habari zenu wakuu?
Kuna suala linanichanganya sana akili. Ni kuhusu placement za PSRS kuchelewa mno.

DUCE walikaa miezi mingi kabla ya kuitwa (sio chini ya 8). Kwa sasa kuna kada tangu ifanye usaili mwezi Julai 2023 mpaka leo hii Dec 15 bado hayajatoka majina ya walioitwa kazini.

Najaribu kuwaza kwa sauti ya chini, naona ustawi wa kiakili na kihisia wa wasailiwa wanaosubiri placement ni kama unaathiriwa. Kila siku (kama si kila muda) kazi ni moja ya kuingia PSRS kwa ajili ya kucheck any new placement.

Inachosha mno!
 
Back
Top Bottom