Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Sababu kubwa ni mjengaji kumudu gharama. Kwanza fundi akiiona picha na ramani anakutajia gharama yake. Gharama anakutajia kwakuwa anaijua kazi na anaujua ugumu wake. Unaamua kumtafuta fundi Maiko mnaekewana. Umeshatoka nje yaoriginal plan.
Fundi anakuambia double glazing ni bora, wala hitasikia kelele hata za radi ukiwa ndani, zaidi ya kuona mwanga. Unamjibu kuwa una mvule wako shambani uliuweka tangu miaka 15 iliyopita utatumia mbao zake kwa frame ya madirisha.
Matokeo hayawezi kulingana labda moyo uridhike.