wakuu nataka kuja ku-invest hapo nyumbani tanzania
nina uzoefu kwenye biashara ya information tech,hardware na software,
nataka nifungue office moshi
naomba mwenye idea na mji ule anipe taarifa kuhusu rent
na je nitapata biashara hasa kutoka serikalini?je wahindi na wakenya wamejikita kwenye biashara hizo?
je ni easy kupata tenda na contracts?

Kama umeshajiweka tayari then hukuwa na sababu ya kuuliza coz your mind was already setoohh rev
sasa nifanyeje tayari nimejiweka sawa kuja
plan zangu ilikuwa nifungue office kabla ya november mwaka huu