plan to invest tanzania

plan to invest tanzania

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,420
wakuu nataka kuja ku-invest hapo nyumbani tanzania
nina uzoefu kwenye biashara ya information tech,hardware na software,
nataka nifungue office moshi
naomba mwenye idea na mji ule anipe taarifa kuhusu rent
na je nitapata biashara hasa kutoka serikalini?je wahindi na wakenya wamejikita kwenye biashara hizo?
je ni easy kupata tenda na contracts?
 
Think of somewhere else! with power crisis and corruption in Tanzania you might end up Frustrated
 
Think of somewhere else! with power crisis and corruption in Tanzania you might end up Frustrated

oohh rev
sasa nifanyeje tayari nimejiweka sawa kuja
plan zangu ilikuwa nifungue office kabla ya november mwaka huu
 
Mkuu kwanza unataka kuwekeza kwenye nini katika hayo uliyosema? Unataka kuwekeza kwenye software development au IT as whole?
Na kwanini umechagua Moshi na si kwingineko Tanzania? Umesha establish any research kuhusu Masako na demand?

Unaweza kuwekeza Tanzania, as long as uwe na master plan ambayo ni realistic.
 
wakuu nataka kuja ku-invest hapo nyumbani tanzania
nina uzoefu kwenye biashara ya information tech,hardware na software,
nataka nifungue office moshi
naomba mwenye idea na mji ule anipe taarifa kuhusu rent
na je nitapata biashara hasa kutoka serikalini?je wahindi na wakenya wamejikita kwenye biashara hizo?
je ni easy kupata tenda na contracts?

Imetulia lakini kwa kutegemea tender za serikali hapo naona itakula kwako, wanaopata tender ni kama Symbion, RA, Chenge et al vile vile lazima utumie political power ya foreign dignitaries kama Hilary Clinton etc.
 
kwanini usiende South Sudan,
kwa ushauri wa bure kama humjui mtu na huna,,,fungu la kumi,,,,, ni ngumu saana kupata tender sio za serekali tu hata za mashirika binafsi
kama hutaki kufa kwa presha endelea kubeba box inalipa zaidi
 
Kabla hujafanya hiyo move, ingekuwa ni vema kama ungekuja Tanzania uende huko Moshi ukafanye study yako mwenyewe kutokana na malengo yako na biashara yako. Then ungeenda pia Arusha, Mwanza na Dar halafu utapata picha kamili kuhusu biashara yako na situation ilioko bongo. Lakini hiyo ya kuja tu kichwa kichwa bila kufanya research nadhani ni risky move ingawa still you never know. Manake kuna bidhaa za wazee wa mafeki/wachina ziko kila kona hadi PC's na laptops, etc
Anyway, all in all I congratulate you for having entreprenurial spirit kuliko kutegemea kuajiriwa. Big Up!!
 
Mkuu bongo usije kwanza, tulia huko huko, kwani huku hata bajeti ya serikali kama hujakata mshiko wa maana haipiti, sasa hiyo tenda utapata vipi? Kisha nchi yenyewe imeshabadilishwa jina, inaitwa tanzagiza. Raisi wetu mwenyewe kahama, anakaa huko huko ulipo atarudi umeme ukirudi
 
wakuu nataka kuja ku-invest hapo nyumbani tanzania
nina uzoefu kwenye biashara ya information tech,hardware na software,
nataka nifungue office moshi
naomba mwenye idea na mji ule anipe taarifa kuhusu rent
na je nitapata biashara hasa kutoka serikalini?je wahindi na wakenya wamejikita kwenye biashara hizo?
je ni easy kupata tenda na contracts?

Nenda bongo kwanza kacheki situation huku ukistudy soko, rent, etc halafu fanya tathmini mwenyewe ndio u-make your move
 
Mi ningekushauri uwekeze kwenye majenereta, solar and the like,
 
oohh rev
sasa nifanyeje tayari nimejiweka sawa kuja
plan zangu ilikuwa nifungue office kabla ya november mwaka huu
Kama umeshajiweka tayari then hukuwa na sababu ya kuuliza coz your mind was already set

Njoo jaribu unaweza ukafanikiwa but prepare about 15% unaccounted money to soothe your way through the system... if you are lucky they will also advice you on how to evade tax for the rest of your business life
 
wakuu nataka kuja ku-invest hapo nyumbani tanzania
nina uzoefu kwenye biashara ya information tech,hardware na software,
nataka nifungue office moshi
naomba mwenye idea na mji ule anipe taarifa kuhusu rent
na je nitapata biashara hasa kutoka serikalini?je wahindi na wakenya wamejikita kwenye biashara hizo?
je ni easy kupata tenda na contracts?

Usiogope njoo u invest,challenge zipo lakini ndo maisha inabidi uzikabili.Hujasikia waasia na wakenya wanavyogombania opportunities huku bongo.
Njoo bana usiogope ,tena ungeanza hiyo investment yako kabla hujarudi nyumbani ili uanze kuzoea challenge na ujue jinsi ya kuzikabili.Wasikutishe milango ipo wazi.
 
Usipime Bongo mwanangu,Hapa NI UWANJA WA FUJO TU! Biashara labda illegal busness ,otherwise fikiria kuishia kuibiwa na kuchanganyikiwa- PERIOD!
 
safi sana,njoo because it something that comes from ur heart,you will suceed.you are the one who knows what you want to do.sucess comes after taking big risky.fikiria kuhusu location,it better to locate your business at Dar es salaam than in moshi because many offices and other customers are situated at Dar es salaam despite competition you will learn to survive.
 
Back
Top Bottom