Plank: Unaweza himili kwa muda gani?

Plank: Unaweza himili kwa muda gani?

Wildlifer

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2021
Posts
1,884
Reaction score
5,235
Salam wanaJF!

Kwa wafanya mazoezi, zoezi la Plank ni moja ya zoezi maarufu na Muhimu lakini gumu. Licha ya kuwa na faida nyingi mfano kuondoa kitambi, kuupa mwili uhimilivu na kujenga misuli imara ya mikono. Kwa anaye anza, anaweza asihimili hata sekunde kumi, lakini kama ilivyo practice makes perfect, kadri unavyofanya unajenga stamina zaidi. Mimi binafsi uwezo wangu wa mwisho kuhimili ni dakika 3 tu. Katika soma soma yangu mtandaoni nimekutana na hii habari ya BBC, kuna mwamba ni mwanajeshi mstaafu wa Marekani ana 62 yrs, ameweka record ya kuwa 'Planker' wa muda mrefu zaidi, Masaa 8, dakika 15 na Sekunde 15[emoji56][emoji56][emoji56].

Wafanya mazoezi, maximum time yako kuplank ni dakika ngapi?

=======

World planking record set by ex-marine, aged 62

A 62-year-old former US Marine has broken the world planking record with a time of eight hours, 15 minutes and 15 seconds.

George Hood set the record for The Longest Male Abdominal Plank in Chicago, according to Guinness World Records.

He surpassed the previous record of eight hours, one minute, set by Mao Weidong in China in 2016.

Hood says he did around 2,100 hours of planking in preparation.

He finished the event by doing 75 push ups.

After breaking the record, Hood announced his retirement from plank record attempts.

He started planking in 2011 and would train for seven hours a day ahead of the event.

"I have to totally disassociate myself from the reality of the clock. It's an art and a skillset that I have mastered over the years," he told the BBC

Hood had rock music blaring throughout the event, something that he says helped him live out a childhood dream.

"When I was growing up, I was fascinated with rock and roll - Van Halen, Motley Crue, Deep Purple. I would watch their videos when MTV came out and it fascinated me," he said.

"I always just wished I could be a rock star, just for 24 hours to live that dream - the limo rides, the buzz, the hype," he added.

"I can assure you, for those eight hours, 15 minutes and 15 seconds, I was that rock star."

BBC

_111021860_mediaitem111021859.jpg
106408710-1582648813128geogehoodfinalfinal.jpg
_111021865_mediaitem111021864.jpg




images.jpeg-2.jpg
 
Ongeza mwamba ufike hata dakika moja. Kumbuka kufanya kwa usahihi mwili unyooke na miguu uvutike kwa nyuma kiasi cha kufeel misuli ya tumbo inavutika. Otherwise unatumia nguvu nyingi halafu matokeo kiduchu.
 
Nimejaribu nimekaa kama dakika 5 na sekunde 13+, kumbe hilo zoezi linachosha
 
Masaa yote hayo, Ina maana hana mambo mengine ya kufanya?
 
Back
Top Bottom