Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru mkuu, naomba a,b,c kidogo za Mining engineering. Mimi sio mhusika moja kwa moja lakini kuna mtu ni muhitaji naweza kumpatia ushauri huu.Kwa Tanzania sidhani kama ipo Ila ukisoma program tatu kati ya hizi hautokuwa mbali na lengo lako kielimu, Mining engineering, Mechanical Engineering or Agricultural Engineering
Fika Chuo Kikuu cha Sokoine ukaulizie wanaweza kukusaidia na program zingine mbadala wa hiyo uitakayo..Amani ya Mungu iwe nawe.
Naomba kufahamishwa sifa ya kujiunga na chuo kinachofundisha Plant Mechanics pia vinapatikana mikoa gani kwa hapa Tanzania.
Asante.
Hiyo degree Tz haipo ila Nenda kasome Mechanical Engineering.Amani ya Mungu iwe nawe.
Naomba kufahamishwa sifa ya kujiunga na chuo kinachofundisha Plant Mechanics pia vinapatikana mikoa gani kwa hapa Tanzania.
Asante.