Plant Mechanics Engineering

Plant Mechanics Engineering

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,229
Amani ya Mungu iwe nawe.

Naomba kufahamishwa sifa ya kujiunga na chuo kinachofundisha Plant Mechanics pia vinapatikana mikoa gani kwa hapa Tanzania.

Asante.
 
Kwa Tanzania sidhani kama ipo Ila ukisoma program nne kati ya hizi hautokuwa mbali na lengo lako kielimu,Industrial Engineering, Mining engineering, Mechanical Engineering or Agricultural Engineering
 
Kwa Tanzania sidhani kama ipo Ila ukisoma program tatu kati ya hizi hautokuwa mbali na lengo lako kielimu, Mining engineering, Mechanical Engineering or Agricultural Engineering
Nashukuru mkuu, naomba a,b,c kidogo za Mining engineering. Mimi sio mhusika moja kwa moja lakini kuna mtu ni muhitaji naweza kumpatia ushauri huu.
 
Amani ya Mungu iwe nawe.

Naomba kufahamishwa sifa ya kujiunga na chuo kinachofundisha Plant Mechanics pia vinapatikana mikoa gani kwa hapa Tanzania.

Asante.
Fika Chuo Kikuu cha Sokoine ukaulizie wanaweza kukusaidia na program zingine mbadala wa hiyo uitakayo..
 
Back
Top Bottom