Plasduce Mbossa, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari, athibitisha kutokuwepo kwa mkataba wa miaka 100: "Upotoshaji ulioenezwa kuhusu mkataba wa miaka 100 ni wa kushtua, hakuna sehemu yoyote katika mkataba iliyotaja kipindi hicho kirefu.
Watu wanaosambaza taarifa hizo walikuwa na malengo yao binafsi. Mkataba uliopo una kipengele kinachosema kuwa ikiwa hakuna hatua zitakazochukuliwa kwa muda wa miezi 12, basi mkataba huo unaweza kufikia kikomo.
Pia, mkataba unasisitiza kuwa ikiwa hatutafikia muafaka katika mkataba wa utekelezaji, mkataba huo utakuwa umekwisha.
Hivyo, ni wazi kuwa kuna vigezo ambavyo vinaweza kuvunja mkataba huo."