Plasduce Mbossa wa TPA: Serikali Kupitia TPA imesaini MoUs na Kampuni za Saudi Arabia,China na Egypt Ili Kuendeleza Bandari ya Bagamoyo

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Hongera Serikali na TPA.Hakikisheni Bandari ya Bagamoyo inajengwa Kwa kushirikiana na Private sector.

Hiyo Bandari ni mojawapo ya miradi mikakati ya kutufikisha kwenye mafanikio ya Dira ya 2050 ya Uchumi wa $700Bln.

View: https://www.instagram.com/p/DGfMFRaM8Mq/?igsh=ZTB1N3ZxMDU1aHN5

My Take
Wale wa Bandari zimeuzwa wakatunge uzushi mwingine.

Pia watuambie kabla hazijauzwa tulipata nini na baada ya kuuzwa tumepoteza nini 🤪🤪

View: https://x.com/TanzaniaDigest/status/1894323641950605590?t=-a2z339QlYvjJSAFAYo_CA&s=19

Pia soma Tetesi: - Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

Kubwa kuliko ya Bagamoyo Port ni hii hapa 👇 👇

View: https://x.com/swahilitimes/status/1894706871384064159?t=5ep6_5y0MmLVGnVkNTcCWA&s=19
 
Hongera Serikali na TPA.Hakikisheni Bandari ya Bagamoyo inajengwa Kwa kushirikiana na Private sector.

Hiyo Bandari ni mojawapo ya miradi mikakati ya kutufikisha kwenye mafanikio ya Dira ya 2050 ya Uchumi wa $700Bln.

View: https://www.instagram.com/p/DGfMFRaM8Mq/?igsh=ZTB1N3ZxMDU1aHN5

My Take
Wale wa Bandari zimeuzwa wakatunge uzushi mwingine.

Pia watuambie kabla hazijauzwa tulipata nini na baada ya kuuzwa tumepoteza nini 🤪🤪

Pia soma Tetesi: - Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

No Tanzanian firm?
 
CCM nyie ni wehu Magufuli alipokataa huo mradi akishangiliwa leo hivi mnaukubali kwa mara nyingine anashangiliwa atakuja mwingine tena apinge anashangiliwa, hovyo kabisa
 
Very bad indeed!
 
CCM hapo wanainiaje? Magufuli ndio thinktak wa Uchumi wa 🇹🇿? Tumia akili.

Mwisho subiria utekelezaji uanze.
 
Who is Magufuli kwamba akipinga ndio nini labda?

CCM wanahusikaje na miradi ya serikali?
Mimi sio mwanasiasa i hate politics, because politicians are idiots Kwa mfano hapo unaposema CCM wanahusikaje kwenye miradi ya serikali that's idiotic mind, wao ndio waliopitisha kwa wingi wao bungeni DP world katika port yetu Leo hiii unajifanya kuwatofautisha na serikali wao ndio walimfurahia Magufuli alipoupinga mradi wa bagamoyo Magufuli aliyekuwa mwenyekiti wa CCM. Wao ndio wanakuja na sera za hovyo kila raisi anakuja na sera zake, mwingine viwanda, mwingine kilimo kwanza, mwingine ubinafsishaji mwingine uuzaji yaani tafarani bila hata mwendelezo yote hio CCM hakwepi kwasababu ndio ana dhamana ya kuongoza nyie mnachoweza ni uchawa tuu na upuuzi mwingine lakini, huwezi kuweka mipango ya miaka mi5 kwenye taifa litakalo exist unknown years age
 
Mimi sio mwanasiasa i hate politics, because politicians are idiots Kwa mfano hapo unaposema CCM wanahusikaje kwenye miradi ya serikali that's idiotic mind, wao ndio waliopitisha kwa wingi wao bungeni DP world katika port yetu Leo hiii unajifanya kuwatofautisha na serikali wao ndio walimfurahia Magufuli alipoupinga mradi wa bagamoyo Magufuli aliyekuwa mwenyekiti wa CCM. Wao ndio wanakuja na sera za hovyo kila raisi anakuja na sera zake, mwingine viwanda, mwingine kilimo kwanza, mwingine ubinafsishaji mwingine uuzaji yaani tafarani bila hata mwendelezo yote hio CCM hakwepi kwasababu ndio ana dhamana ya kuongoza nyie ninachoweza ni uchawa tuu na upuuzi mwingine lakini, huwezi kuweka mipango ya miaka mi5 kwenye taifa litakalo exist unknown years age
Baada ya wewe kuchukia politics na wao Kupitisha DP World hapo bandarini wewe unapata hasara gani au Nchi imekosa nini?
 
Wewe hujui unachokifanya huwezi kunikuta kwenye jukwaa hili I always avoid sijui leo nimeonaje labda kwakua inagusa interest za wengi wewe hujui ndio maana huwezi kuona hasara kwa macho yako, mimi sio mwanasiasa siwezi kukomaa upande huu kwaheri
 
Leta majibu ya maswali yangu Wacha porojo zisizo na msingi
 
Kwa uwezo upi wa kifedha na mtaji walionao? Uzoefu Je?

Bagamoyo Port ni zaidi ya $10bln (27T)
Kwani hao wengine unafikiri wanazo hizo pesa kwenye account? Kweli waTanzania elimu hamkusoma.
Kuna Investors watatoa hizo pesa baada ya kuuweka huo mradi sokoni, kuna taasisi nyingi tu zitanunua share zao. Nyie ni Wajinga "waliwao". Kwani financial institution kazi zao ni nini?
 
Kama hawana Wana uwezo wa ku mobilize zikapatikana.
 
Back
Top Bottom