Mimi sio mwanasiasa i hate politics, because politicians are idiots Kwa mfano hapo unaposema CCM wanahusikaje kwenye miradi ya serikali that's idiotic mind, wao ndio waliopitisha kwa wingi wao bungeni DP world katika port yetu Leo hiii unajifanya kuwatofautisha na serikali wao ndio walimfurahia Magufuli alipoupinga mradi wa bagamoyo Magufuli aliyekuwa mwenyekiti wa CCM. Wao ndio wanakuja na sera za hovyo kila raisi anakuja na sera zake, mwingine viwanda, mwingine kilimo kwanza, mwingine ubinafsishaji mwingine uuzaji yaani tafarani bila hata mwendelezo yote hio CCM hakwepi kwasababu ndio ana dhamana ya kuongoza nyie mnachoweza ni uchawa tuu na upuuzi mwingine lakini, huwezi kuweka mipango ya miaka mi5 kwenye taifa litakalo exist unknown years age