Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
Sasa mbona unajitukana? Yule mzee wenu aliua MECCO na mashirika mengi sana. Au unataka kusema IQ ndogo? Maana hujisifu kuwa mnaweza. Mradi mnajengewa Dollar billioni na na dolla millioni 500 zinaenda kwao. Ingekuwa MECCO hapo zote zingebaki Tanzania. IQ, IQ.............................Kama hawana Wana uwezo wa ku mobilize zikapatikana.
Hongera Serikali na TPA.Hakikisheni Bandari ya Bagamoyo inajengwa Kwa kushirikiana na Private sector.
Hiyo Bandari ni mojawapo ya miradi mikakati ya kutufikisha kwenye mafanikio ya Dira ya 2050 ya Uchumi wa $700Bln.
View: https://www.instagram.com/p/DGfMFRaM8Mq/?igsh=ZTB1N3ZxMDU1aHN5
My Take
Wale wa Bandari zimeuzwa wakatunge uzushi mwingine.
Pia watuambie kabla hazijauzwa tulipata nini na baada ya kuuzwa tumepoteza nini 🤪🤪
View: https://x.com/TanzaniaDigest/status/1894323641950605590?t=-a2z339QlYvjJSAFAYo_CA&s=19
Pia soma Tetesi: - Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate
Naona kafulila kaanza kufunikwa.Hongera Serikali na TPA.Hakikisheni Bandari ya Bagamoyo inajengwa Kwa kushirikiana na Private sector.
Hiyo Bandari ni mojawapo ya miradi mikakati ya kutufikisha kwenye mafanikio ya Dira ya 2050 ya Uchumi wa $700Bln.
View: https://www.instagram.com/p/DGfMFRaM8Mq/?igsh=ZTB1N3ZxMDU1aHN5
My Take
Wale wa Bandari zimeuzwa wakatunge uzushi mwingine.
Pia watuambie kabla hazijauzwa tulipata nini na baada ya kuuzwa tumepoteza nini 🤪🤪
View: https://x.com/TanzaniaDigest/status/1894323641950605590?t=-a2z339QlYvjJSAFAYo_CA&s=19
Pia soma Tetesi: - Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate
Nnachokiona hapa watu Wana chuki na Chama kinachounda serikali hata kifanye jambo zuri lipi bado watatafuta angle tu ya kuponda....wapinzani wangepewa nao nchi hata miaka 10 tuone kuna kipi kipya wataleta.....maana wakati mwingine huwa wanaongea theory nyingi sana Sasa wapewe nchi wafanye Yale wanayopigia kelele....wakishindwa tuwafurushe tuwarudishe Kijani tena watawale mileleBad Kwa nini labda?
Sasa Mboso anafanya Kazi Bandari gani hapo Daslam? 😂Hongera Serikali na TPA.Hakikisheni Bandari ya Bagamoyo inajengwa Kwa kushirikiana na Private sector.
Hiyo Bandari ni mojawapo ya miradi mikakati ya kutufikisha kwenye mafanikio ya Dira ya 2050 ya Uchumi wa $700Bln.
View: https://www.instagram.com/p/DGfMFRaM8Mq/?igsh=ZTB1N3ZxMDU1aHN5
My Take
Wale wa Bandari zimeuzwa wakatunge uzushi mwingine.
Pia watuambie kabla hazijauzwa tulipata nini na baada ya kuuzwa tumepoteza nini 🤪🤪
View: https://x.com/TanzaniaDigest/status/1894323641950605590?t=-a2z339QlYvjJSAFAYo_CA&s=19
Pia soma Tetesi: - Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate
Magufuli kibinadamu alimuonea wivu Kikwete huo mradi ulianza chini ya awamu ya nne. Akaona kwamba sifa zote zitamwendea Kikwete akaamua kuukata mradi kwa kigezo cha mikataba kutokaa vizuri kwa upande wa Tanzania.CCM nyie ni wehu Magufuli alipokataa huo mradi akishangiliwa leo hivi mnaukubali kwa mara nyingine anashangiliwa atakuja mwingine tena apinge anashangiliwa, hovyo kabisa
Ukiwa na upeo mdogo unaweza kuamini haya maneno yako inabidi utembee huko bara uone mambo anayoyafanya Samia akiongozwa na utanzania wake sio uzanzibari.Huyu mzanzibar anauza kila kitu cha bara lakini Zanzibar hagusi, tumshitukie tuamke wabara
Wewe ni kiazi Mzee.Huyo ni DG wa TPA Tanzania yenye Bandari 131 wewe unauliza upuuzi.Sasa Mboso anafanya Kazi Bandari gani hapo Daslam? 😂
Mbona umepanic 😂😂😂🔥Wewe ni kiazi Mzee.Huyo ni DG wa TPA Tanzania yenye Bandari 131 wewe unauliza upuuzi.
Utakuwa na shida ya akili, mbona hutaji ya Zanzibar? kwamba hatulipi kodi?Ukiwa na upeo mdogo unaweza kuamini haya maneno yako inabidi utembee huko bara uone mambo anayoyafanya Samia akiongozwa na utanzania wake sio uzanzibari.
Viwanja viwili vikubwa vitatumiwa na Tanzania baada ya AFCON ya 2027 kumalizika.
Viwanja vya ndege vinavyojengwa muda huu ni mali ya serikali ya Tanzania wakati huo Samia yupo kwao Kizimkazi.
Daraja la Kigongo Busisi lipo Mwanza wakati SSH kwao ni Unguja.
Mengi sana yanayofanyika muda huu yanakwenda kuibeba Tanzania kwa miaka mingi ijayo.
Hongera Serikali na TPA.Hakikisheni Bandari ya Bagamoyo inajengwa Kwa kushirikiana na Private sector.
Hiyo Bandari ni mojawapo ya miradi mikakati ya kutufikisha kwenye mafanikio ya Dira ya 2050 ya Uchumi wa $700Bln.
View: https://www.instagram.com/p/DGfMFRaM8Mq/?igsh=ZTB1N3ZxMDU1aHN5
My Take
Wale wa Bandari zimeuzwa wakatunge uzushi mwingine.
Pia watuambie kabla hazijauzwa tulipata nini na baada ya kuuzwa tumepoteza nini 🤪🤪
View: https://x.com/TanzaniaDigest/status/1894323641950605590?t=-a2z339QlYvjJSAFAYo_CA&s=19
Pia soma Tetesi: - Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate
Kama ndo wenye hela na terms nzuri kuna shida hapo kwani???.....kuna project ngapi Zina mkono wa wazungu na bdo tunapigwa??....mfano kipindi cha Jiwe alivyosumbuana na Acacia....walikuwa wa Canada wale wazungu tunaowahusudu lakini Jiwe ndo akatutangazia wale ni wezi......asili sidhani kama ni shida....kikubwa anayekuja awe na manufaa kwa taifa... periodKila mradi siku hizi lazima uwe na component ya Mwarabu ndani yake.
Kweli damu ni nzito kiliko maji.
This so-called 'choicevariable' is someone obtuse of his caliber.Mimi sio mwanasiasa i hate politics, because politicians are idiots Kwa mfano hapo unaposema CCM wanahusikaje kwenye miradi ya serikali that's idiotic mind, wao ndio waliopitisha kwa wingi wao bungeni DP world katika port yetu Leo hiii unajifanya kuwatofautisha na serikali wao ndio walimfurahia Magufuli alipoupinga mradi wa bagamoyo Magufuli aliyekuwa mwenyekiti wa CCM. Wao ndio wanakuja na sera za hovyo kila raisi anakuja na sera zake, mwingine viwanda, mwingine kilimo kwanza, mwingine ubinafsishaji mwingine uuzaji yaani tafarani bila hata mwendelezo yote hio CCM hakwepi kwasababu ndio ana dhamana ya kuongoza nyie mnachoweza ni uchawa tuu na upuuzi mwingine lakini, huwezi kuweka mipango ya miaka mi5 kwenye taifa litakalo exist unknown years age
Pamoja n chuki zako Kwa Waarabu na SSH ila ukweli ni kwamba hao ndio wenye hela.Kila mradi siku hizi lazima uwe na component ya Mwarabu ndani yake.
Kweli damu ni nzito kiliko maji.
Taarifa hii ya TPA ni sawa na Ile iliyotoka awali?Mbona juzi Mhe. Waziri wa Uwekezaji alikanusha jambo kuwa siyo kweli.