ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #41
Taarifa iliyotoka ilikuwa tofauti na hii na walisema wataleta taarykamili ambayo ndio hii Sasa.Si juzi tu hapa walisema Saudi haihusiki au walikua wanapima upepo?
Hakuna nilipojitukana naongea facts.Sasa mbona unajitukana? Yule mzee wenu aliua MECCO na mashirika mengi sana. Au unataka kusema IQ ndogo? Maana hujisifu kuwa mnaweza. Mradi mnajengewa Dollar billioni na na dolla millioni 500 zinaenda kwao. Ingekuwa MECCO hapo zote zingebaki Tanzania. IQ, IQ.............................
Hakuna mkataba wa kuuona ,sheria hazitaki hayo unayosema wewe.Mkuu,
Mikataba ya Bandari unaiona?
Bandari ile ile ya bagamoyo waliyo-acquire wasaudia na halafu ndiyo hiyo hiyo TPA wamesaini MOU's na China na Egypt? Ni Mimi ndiyo sijaelewa?Hongera Serikali na TPA.Hakikisheni Bandari ya Bagamoyo inajengwa Kwa kushirikiana na Private sector.
Hiyo Bandari ni mojawapo ya miradi mikakati ya kutufikisha kwenye mafanikio ya Dira ya 2050 ya Uchumi wa $700Bln.
View: https://www.instagram.com/p/DGfMFRaM8Mq/?igsh=ZTB1N3ZxMDU1aHN5
My Take
Wale wa Bandari zimeuzwa wakatunge uzushi mwingine.
Pia watuambie kabla hazijauzwa tulipata nini na baada ya kuuzwa tumepoteza nini 🤪🤪
View: https://x.com/TanzaniaDigest/status/1894323641950605590?t=-a2z339QlYvjJSAFAYo_CA&s=19
Pia soma Tetesi: - Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate
Unatetea yule bibi,ila utambue kuwa yule ni dalali.Taarifa hii ya TPA ni sawa na Ile iliyotoka awali?
Wapi Saudia wame acquire? Kabla ya Hawa wa Sasa zilikuwa kampuni ngapi ambazo Magufuli alikataa mkataba wake?Bandari ile ile ya bagamoyo waliyo-acquire wasaudia na halafu ndiyo hiyo hiyo TPA wamesaini MOU's na China na Egypt? Ni Mimi ndiyo sijaelewa?
Mh!!!!!!.....CCM nyie ni wehu Magufuli alipokataa huo mradi akishangiliwa leo hivi mnaukubali kwa mara nyingine anashangiliwa atakuja mwingine tena apinge anashangiliwa, hovyo kabisa
Uwekezaji ni kuuza?Huyu bibi atauza kila kitu.
Ikifika 2030 vyama vya wasio na ajira vitakuwa na wanachama 30 millions
Tangu lini mikataba ikawa public? Kutakuwa na maana ya mkataba hapo?Umesoma Mikataba ( Jela ) ?
Tena Mwarabu na Mchina.Uwekezaji ni kuuza?
Mbona nyerere hyro power kajenga mgeni na sgr wanajenga wageni
Watanzania mmekumbwa na nini mbona uelewa umekua wa hovyo
Zole investment za bandari za miaka ile ziliiuza bandari?
hayo mataifa yote ni strategic, sioni shida. ukitaja misri kwenye bandari, jua wapo mbali na meli nyingi sana toka ulaya kupitia suez na toka asia hua na connection misri, kwenye biashara ya bandari what matters ni connections za meli kuweka kituo kwenye bandari yako. hivyo meli ikitoka ulaya itatua misri na badala ya kutua nairobi itatua bagamoyo. zile za china zitapita saudia ambako lazima kuna mzigo mzuri na wakitoka saudia wanatua bagamoyo. tuchangamkie fursa.Hongera Serikali na TPA.Hakikisheni Bandari ya Bagamoyo inajengwa Kwa kushirikiana na Private sector.
Hiyo Bandari ni mojawapo ya miradi mikakati ya kutufikisha kwenye mafanikio ya Dira ya 2050 ya Uchumi wa $700Bln.
View: https://www.instagram.com/p/DGfMFRaM8Mq/?igsh=ZTB1N3ZxMDU1aHN5
My Take
Wale wa Bandari zimeuzwa wakatunge uzushi mwingine.
Pia watuambie kabla hazijauzwa tulipata nini na baada ya kuuzwa tumepoteza nini 🤪🤪
View: https://x.com/TanzaniaDigest/status/1894323641950605590?t=-a2z339QlYvjJSAFAYo_CA&s=19
Pia soma Tetesi: - Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate
Mama ni mtu wa biashara na Mageuzi Huwa hasikilizi makelele ya mbumbumbu wa ujamaa mbuzihayo mataifa yote ni strategic, sioni shida. ukitaja misri kwenye bandari, jua wapo mbali na meli nyingi sana toka ulaya kupitia suez na toka asia hua na connection misri, kwenye biashara ya bandari what matters ni connections za meli kuweka kituo kwenye bandari yako. hivyo meli ikitoka ulaya itatua misri na badala ya kutua nairobi itatua bagamoyo. zile za china zitapita saudia ambako lazima kuna mzigo mzuri na wakitoka saudia wanatua bagamoyo. tuchangamkie fursa.
Na kwa taarifa yenu tuu mwezi June,Lindi LNG inaenda kupata another milestone.
sidhani kama yupo hivyo, hasa likija suala la mikataba tunayoingia nao. unakumbuka waarabu wa dubai waliweka mkataba wa maisha, kama tusingepiga kelele alikuwa ameshauza nchi. ni mtu wa kwenda naye makini sana kupitia maamuzi yake kabla hajatia saini, ama la atatutia hasara tu. na mtu kama huyo huwezi kusema ni kiongozi mzuri.Mama ni mtu wa biashara na Mageuzi Huwa hasikilizi makelele ya mbumbumbu wa ujamaa mbuzi
Umesema "Wana uwezo wa ku mobilize zikapatikana"; kama wana uwezo wa kumobilize na zikapatikana nyie hamna huo uwezo, umekubali kuwa hao unaowapa wana uwezo wa kuuweka huo mradi sokoni wakapata fedha. Yule mwenzenu alikua ana akili, ingawa alikuwa dictator (JPM), alianzisha mradi na kuuweka sokoni na fedha zikapatikana na mradi bado ni wenu. Na alichagua contractors vizuri, hakuwapa matapeli wenu hao. Angalia Bwawa, umeme myauza nyie na pesa mtapa nyie. Contractors- Arab Contractors. SGR - Turkey-Portugal- na mradi ni wenu, ingawa hakutumia contractors wa Tanzania. Na hesabu miradi yake yote utaona hivyo.Hakuna nilipojitukana naongea facts.
Yeye hakuwa muelewa ndio maana kazi nzuri inaendelea
Huo ni uzushi wenu hakuna mahala kulikuwa na mkataba wa Maisha ,MoUs Huwa hazipo define specific duration Bali implementation contracts,so acha ujinga maana Serikali ilifafanua sana.sidhani kama yupo hivyo, hasa likija suala la mikataba tunayoingia nao. unakumbuka waarabu wa dubai waliweka mkataba wa maisha, kama tusingepiga kelele alikuwa ameshauza nchi. ni mtu wa kwenda naye makini sana kupitia maamuzi yake kabla hajatia saini, ama la atatutia hasara tu. na mtu kama huyo huwezi kusema ni kiongozi mzuri.
Ndio kampuni zenu hazina huo uwezo Wala uzoefu so haziwezi.Umesema "Wana uwezo wa ku mobilize zikapatikana"; kama wana uwezo wa kumobilize na zikapatikana nyie hamna huo uwezo, umekubali kuwa hao unaowapa wana uwezo wa kuuweka huo mradi sokoni wakapata fedha. Yule mwenzenu alikua ana akili, ingawa alikuwa dictator (JPM), alianzisha mradi na kuuweka sokoni na fedha zikapatikana na mradi bado ni wenu. Na alichagua contractors vizuri, hakuwapa matapeli wenu hao. Angalia Bwawa, umeme myauza nyie na pesa mtapa nyie. Contractors- Arab Contractors. SGR - Turkey-Portugal- na mradi ni wenu, ingawa hakutumia contractors wa Tanzania. Na hesabu miradi yake yote utaona hivyo.
Sasa nyie mnauza asset na mnawapa madraka yote. Angalia DP World, hadi chumbani wanaingia kuchukua siri zenu maana lango lenu wao ndiyo wanamiliki na pesa wanakusanya wao wanakupa wewe commission. Bagamoy imepewa kwa KSA, Ambaye kiukweli ni dalali tu, anayetaka hiyo bandari ni Mchina, hiyo sehemu ni strategic kwake kutokana na geopolitics na Marekani. JPM aliwastukia, sasa wanakuja kinyumenyume na hii lazima ni suggestion ya CCM kuwa hawa wachina watafute dalali wawe nyuma ya dalali. It fits with CCM ya mama Samia. Uzeni tu. Wala msiwe na aibu.
nyamaza tu ili kumsitiri. kati ya vitu vilimshushia hadhi na kuonekana hana uwezo au ana nia ovu na nchi, ni mkataba wa dp world. hadi mtoto mdogo hapa Tanzania alijua maza aliboronga aidha kwa sababu hajui au kwa makusudi. na vipo vingi kwenye mkataba vilibadilishwa baada ya kelele ndio maana tunasema hata yeye alijua alikosea sana.Huo ni uzushi wenu hakuna mahala kulikuwa na mkataba wa Maisha ,MoUs Huwa hazipo define specific duration Bali implementation contracts,so acha ujinga maana Serikali ilifafanua sana.
Mwisho kama Samia sio Mwanamageuzi ni Rais yupi wewe unaona ni mwana Mageuzi? Weka namba tulinganishe.